Awashinde Wote Kwa Mali...!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,722
Hapo Zamani za kale kulifanyika uchaguzi wa kiongozi watu!
Kiongozi huyo alitakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
-Awashinde wote kwa Mali,
-Awashinde wote kwa Akili,
-Awashinde wote kwa Urefu,
-Awashinde wote Unene,
-Awashinde wote kwa Watoto
Lakini uchaguzi wao ulishindikana, maana hawakumpata mtu wa sifa zote hizo!

Hadithi hii inapatikana katika kitabu cha darasa la pili cha zamani zetu!

Lakini nikiangalia kwa undani, kuna funzo kubwa sana hapo, ambalo hadi sasa bado lipo na lina'hold!

Unadhani huyu mtunzi wa miaka hiyo wa kisa hicho anatufundisha nini kwa Tanzania ya leo, na hali halisi ya chaguzi zetu za viongozi wa sasa?
 
Huyu mtunzi kachangia kiasi kikubwa kudumaza akili za wa tanzania, watoto kabla ya kufikia darasa la pili walijiamini wanweza kuwa na sifa zote ulizotaja;

Watoto ukiwa encourage watajiamini kuwa na uwo uwezo wa uliotaja;

Akili
Uwezo
Urefu(kama anaotayari)
Unene (afya)
Watoto wengi ( sensiof belonging)

Vitabu kama hivi inabidi vichomwe mote havisaidii katika jamii zaidi ya "Can't do attitude" ambazo watz wengu tunazo, vinalengo la kukuza generation isiyo jiamini.

Tunaweza kuwa na kuwapata viongozi wenye sifa zote za kutuongoza hapa tanzania kama tutakiweka pembeni katabu hicho, kwani wapo wenye sifa zinazo takiwa.
 
hapo zamani za kale kulifanyika uchaguzi wa kiongozi watu!
kiongozi huyo alitakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
-awashinde wote kwa mali,
-awashinde wote kwa akili,
-awashinde wote kwa urefu,
-awashinde wote unene,
-awashinde wote kwa watoto
lakini uchaguzi wao ulishindikana, maana hawakumpata mtu wa sifa zote hizo!

hadithi hii inapatikana katika kitabu cha darasa la pili cha zamani zetu!

lakini nikiangalia kwa undani, kuna funzo kubwa sana hapo, ambalo hadi sasa bado lipo na lina'hold!

unadhani huyu mtunzi wa miaka hiyo wa kisa hicho anatufundisha nini kwa tanzania ya leo, na hali halisi ya chaguzi zetu za viongozi wa sasa?
siyo kila unachokitaka utakipata kwa 100%
 
Huyu mtunzi kachangia kiasi kikubwa kudumaza akili za wa tanzania, watoto kabla ya kufikia darasa la pili walijiamini wanweza kuwa na sifa zote ulizotaja;

Watoto ukiwa encourage watajiamini kuwa na uwo uwezo wa uliotaja;

Akili
Uwezo
Urefu(kama anaotayari)
Unene (afya)
Watoto wengi ( sensiof belonging)

Vitabu kama hivi inabidi vichomwe mote havisaidii katika jamii zaidi ya "Can't do attitude" ambazo watz wengu tunazo, vinalengo la kukuza generation isiyo jiamini.

Tunaweza kuwa na kuwapata viongozi wenye sifa zote za kutuongoza hapa tanzania kama tutakiweka pembeni katabu hicho, kwani wapo wenye sifa zinazo takiwa.
Sijakuelewa kabisa ndugu yangu!!

Hadithi ile inasema, hakuna mtu mwenye sifa zote zile...kwakuwa nyingine ni za kijinga na ndio maana hawakuweza kumpata. Wewe unasema kitabu kile kilipaswa kichomwe moto? Labda nimechoka na mihangaiko ya leo.... sijakuelewa Monsieur
 
Huyu mtu yuko Brainwashed, and he cant think any distance further from his Nose!
Hajui kwamba yeye mwenyewe au family members wake walisoma kitabu hicho, ndo maana wapo hapao leo wanabonyabonya keys!...Negative brains ,,always!
Achana na Bull- we know him!
 
Sijakuelewa kabisa ndugu yangu!!

Hadithi ile inasema, hakuna mtu mwenye sifa zote zile...kwakuwa nyingine ni za kijinga na ndio maana hawakuweza kumpata. Wewe unasema kitabu kile kilipaswa kichomwe moto? Labda nimechoka na mihangaiko ya leo.... sijakuelewa Monsieur

Asante Mkuu, ngoja niweka wazi nilivyo elewa mimi:

Kwa tamaduni zetu hizo, mimi sikuziona kama nisifa za kijinga bali zote hizo waafrika hasa kwa wakati ule zilikuwa zote nisifa muhimu ukiwa nazo unaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi.

Pia kuna mengi yakuweza kujifunza kwenye hadithi hiyo, Mfano: unapoamini kitu au vitu fulani haviwezikani wakati vinawezekana, ni kumrudisha nyuma mtoto kwa kumpunguzishia jitihada na speed ya kutafuta utajiri, watoto wengi, elimu, umahiri nk,

Mtoto anatakiwa kuwa encouraged kwa kila jambo, sayforexample, You can do it, or Everything possible my kid! sio vizuri kumvunja moyo, ndio maana naamini iki kitabu kinaweza kumvunja moyo mtoto.

Kwa sababu umeuliza kitabu kinatufundisha nini, mi ndio nikaona hakimfundishi mtoto kuongeza jitiada za kutafuta. Respect
 
Back
Top Bottom