Awamu za urais/utawala

Muadilifu

Senior Member
Sep 26, 2007
149
22
Wandungu,
Naomba mnisaidie kujua ni vigezo gani vinatumika kujua hii ni serikali ya awamu ya ngapi, au huyu ni Rais wa awamu ya ngapi. Je ni kubadilika kwa Rais, au ni kuingia kwa ngwe nyingine ya uchaguzi (hapa nikimaanisha kipindi kingine cha miaka mitano ya uongozi wa Rais) Kama hoja ni kubadilika kwa Rais, hatuoni kwamba kwa kauli hii tunahalalisha Rais kukaa madarakani miaka yote kumi hata kama hafai? Na je endapo itatokea Rais akaongoza kwa miaka mitano tu, na akachukua urais mtu mwingine, hiyo nayo tutaiita ni awamu? Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom