Awamu ya tatu ya JKT

Waliopasua mtihan wote wameshaenda,nyie mliochekecha na matokeo ya ICU hayo nenden vyuon tu top clean yote ishaenda jeshn sasa ww wataka ukafanye nn kule?
 
We kwanza mambo ya kulima.,bado kukimbia na kukata visiki...ukitoka huko yani unakuwa na vigimbi vya mashavu sio vya mikono tena

hahahaaa! unarud hata kumpa m2 mkono unaogopa jins ilivoweka sugu! duh staki mie!
 
haya bana! Ukienda inabid ujikazee, mbona me jiran yangu tena lelemamaa ile mbaya amewezaa na ni jinsia kama yako tuu! Yeye alienda 1st intake

Poa bwana lakini mi hko siend wataniua bure mtoto wa watu
 
Waliopasua mtihan wote wameshaenda,nyie mliochekecha na matokeo ya ICU hayo nenden vyuon tu top clean yote ishaenda jeshn sasa ww wataka ukafanye nn kule?

cpo kwa ajili ya kubishanaa! Swal langu mbona 1st intake walioenda wengine wamerudi na kupokea dv4 na zero za kutoshaa hawa nao ni vichwaa! Swali la pili, kwa hawa walioenda 2nd intake mbona kwa wenye principle moja kwa science i.e dv 3 pts17 (E, S,S) wameenda mfano my young brothr amegraduate majengo moshii, vile vile mbona kuna wengine wana dv 3 za science bado wapo kitaaa!!? Hebu fafanua kdgoo
 
Raia raia tu...nacoz hapewi baamedi nacoz anapewa kurutu..waziiii haina mjadala iyoooo...chin.chin...chezea ma-poti wewe
 
"Hatua kali za kisheria zitachukuliwa"
je ni hatua gani hizo zimechukuliwa toka intake ya watu wa kwanza hadi sasa wakuu?
 
Waliopasua mtihan wote wameshaenda,nyie mliochekecha na matokeo ya ICU hayo nenden vyuon tu top clean yote ishaenda jeshn sasa ww wataka ukafanye nn kule?

daah we ndo umetuonyesha kama ni bonge la boyaaaa....Tambaza high school comb ya cbg hawajaenda hata mmoja na watu tuna div 2 na 3 nzuri boya wewe,.so CBG sio science
 
achana naee huyoo
 
cpo kwa ajili ya kubishanaa! Swal langu mbona 1st intake walioenda wengine wamerudi na kupokea dv4 na zero za kutoshaa hawa nao ni vichwaa! Swali la pili, kwa hawa walioenda 2nd intake mbona kwa wenye principle moja kwa science i.e dv 3 pts17 (E, S,S) wameenda mfano my young brothr amegraduate majengo moshii, vile vile mbona kuna wengine wana dv 3 za science bado wapo kitaaa!!? Hebu fafanua kdgoo

Ndo maaana nkakwambia top clean yote ishakwenda kule na ndo taifa lawategemea hao,walioenda mara ya kwanza hawakwend k matokeo,n shule tu na ikimbukwe tokeo halikuwa out,hii 2nd round wenye 3 n za Scienc tu ambazo n ushind kwao ndo maana Scienc cut off point zao znagusa hado 2.O sasa ww na H kunani yako umepata 3 nabdo walilia Jkt?ukafanye nn sasa,kaaa kwenu anza kimbia mchakamchaka na vitasa wenzio subir 10,14 na 17 kvyuo vyote vtakuwa vmefungua,Pole kwa tokeo kaza chuo upate GPA nzuri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom