Awamu ya tatu ya JKT

awamu inayofata kwa jkt ni walimu wa diploma sio tena kwa 4m 6 so msiogope vijan keep calm
 
Serious guys jkt ni ngumu sana hasa kwetu girls na especially ukiwa sistaduu
 
We kwanza mambo ya kulima.,bado kukimbia na kukata visiki...ukitoka huko yani unakuwa na vigimbi vya mashavu sio vya mikono tena
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom