Awamu ya tatu ya JKT

Wakuu nackia mfumo ni hv; first year wote tunapata hostel ila tukiingia 2nd year ndo wote tunaaendaa mtaan kupanga ili kupisha first year watakaokuja nyuma yetuu! So na nyinyi jaribun kuuliza wana ARDHI

vyumba huwa havtoshi hata kwa 1st yr!madogo jipangen mapema,taften raia wa kuwabeba incase mmekosa,uzur pale wanarusu ata m2 ten kwenye rum!bla kusahau wazee wa bakoni!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom