Awamu ya tatu ya JKT

Watu tushasahau kama kuna kwenda huko,in fact chuo ni Sept.

Uthibitisho;ingia web ya SAUT angalia wanafunzi wapya wanatakiwa kuripoti tarehe 16 september.... overr
 
nauliza kama kuna mtu ana taarifa yeyote kwa wale wanafunzi wanaotakiwa kwenda awamu ya tatu jkt

kutokana na matangazo ya vyuo kadhaa vilivyotoa majina ya wanafunzi watakao jiunga vyuo hivyo mwaka wa masomo 2013/2014.Nidhahiri kuwa chuo ni mwezi wa kumi na kuna baadhi wataripoti mwezi wa tisa hivyo sidhani kama kutakuwa na intake ya tatu ya kwenda jkt.ILA KWA UHAKIKA ZAIDI TUJARIBU KUSUBIRI TAMKO LA JKT NA JKT WENYEWE MAANA SIUNAJUA NCHI YETU ILIVYO KIGEUGEU.
 
geomatics wakuu..tuchekiane ili atakaepata rum tusaidiane kubebana..c unajua maisha ya chuo vyumba kupata ni bahati nasibu
 
Wakuu nackia mfumo ni hv; first year wote tunapata hostel ila tukiingia 2nd year ndo wote tunaaendaa mtaan kupanga ili kupisha first year watakaokuja nyuma yetuu! So na nyinyi jaribun kuuliza wana ARDHI
 
It means hata waliopo JKT hawatasubiri hadi miezi mitatu iishe maana ingeisha tar 24 sept, 2013 ambapo kuna vyuo ndo mida hiyo vinafungua so itabidi waondoke kule earlier ili kuja kujiandaa!

Naomba iwe hivo!

Maana

Nimemmiss sana demu wangu kiukweli!
 
Building economics-(quantity surveyor)

It means hata waliopo JKT hawatasubiri hadi miezi mitatu iishe maana ingeisha tar 24 sept, 2013 ambapo kuna vyuo ndo mida hiyo vinafungua so itabidi waondoke kule earlier ili kuja kujiandaa!

Naomba iwe hivo!

Maana

Nimemmiss sana demu wangu kiukweli!

haaaa ahaaaa tafta mwengne analiwa huko na wajeda...!!
 
It means hata waliopo JKT hawatasubiri hadi miezi mitatu iishe maana ingeisha tar 24 sept, 2013 ambapo kuna vyuo ndo mida hiyo vinafungua so itabidi waondoke kule earlier ili kuja kujiandaa!

Naomba iwe hivo!

Maana

Nimemmiss sana demu wangu kiukweli!

Ha ha ha ha,umenifurahisha sana chali yangu.
 
Ha ha ha ha,umenifurahisha sana chali yangu.

mwanangu ndo hivo!
Halafu siku chache kabla ya tangazo kutoka tulikuwa tumejiandaa kusheherekea birthday yangu 2nd July(mimi na yeye tu)
dah!
Ndo wakatoa mtangazo wao kwamba inabidi waende jkt!

Yaani huwezi amini hiyo tar 2 nililala tu maana sikuwa na mzuka kabisa!
Japo aliandaaga zawadi ila aliyeambiwa anipe hiyo tar 2 naye hakuleta(maybe alisahau) na mimi kumuuliza naona co mzuka!
 
It means hata waliopo JKT hawatasubiri hadi miezi mitatu iishe maana ingeisha tar 24 sept, 2013 ambapo kuna vyuo ndo mida hiyo vinafungua so itabidi waondoke kule earlier ili kuja kujiandaa!

Naomba iwe hivo!

Maana

Nimemmiss sana demu wangu kiukweli!

Wanasepa kabla ya mwisho wa mwezi wa 8 so usiogoope
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom