Awamu ya tatu ajira za walimu zimetoka leo tar 1 mwezi 7 nashukuru nimepangiwa kituo sasa.

Jamani nimekuwa mtu wa kilalamika sana humu baada ya serikali kutangaza ajira awamu mbili na zote bila mafanikio lakini nashukuru leo hii wametoa majina mengine tena ila kuripoti mwisho tar 3 mwezi huu huu wa saba.
Hongera kijana, nenda kapige kazi.
 
hahahahahahaha!hongera sana kazi njema mwalimu,,vip huyu chemichemi sijamsikia muda mrefu?
 
Jamani nimekuwa mtu wa kilalamika sana humu baada ya serikali kutangaza ajira awamu mbili na zote bila mafanikio lakini nashukuru leo hii wametoa majina mengine tena ila kuripoti mwisho tar 3 mwezi huu huu wa saba.

imetangazwa kwenye chombo gani cha habari?
 
Back
Top Bottom