Awamu ya Tano imekwisha kwama, Imejitia ulimi puani...

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,836
7,492
Sasa ni miezi mitatu na siku kumi za awamu ya tano.Rais anataja mafanikio
anataja daraja la Kigamboni ambalo simpi alama yaani point nampa JK. Anaahidi daraja jingine hajatueleza kwa umuhimu gani kwa makubaliano bunge lipi , namkata point. Rais anaongelea mapungufu mapya muhimbili na bandarini ,hii ina maana kuwa watendaji wakuu wizarani na kwenye hizo taasisi hawajapewa mikakati ya kimifumo. Tumeishia kubweka katika vi idara tu. Unaloliona wodi moja utaliona wodi za hospitali zote za serekali,na wahusika wanafanya siri.Magufuli asiishie kusema anahitaji sapoti ya wananchi wa imani makabila na kada zote.Wakati moyoni ana kinyongo na kuamini kwenye majeshi amri kama turufu ya kisiasa.Watamshangilia wanafiki lakini wanaoelewa ambao sasa ni wengi wanashika midomo. Mwenendo wetu kidiplomasia ni jambo la kujadili muda wote

yetu macho, msuli,the Godfather
 
Nafikiri basi wala haujaelewa jinsi mfumo mzima wa nchi yetu ulivyo, ni hivi tuna mfumo kwa CCM unaitwa wa kupokezana vijiti na kila Raisi anachukuwa alipoachia mwenzake na mafanikio ya Raisi mmoja siyo ya kwake binafsi bali yanatokana na sera za Chama yaani CCM hivyo kama Raisi Kikwete alijenga daraja Raisi Magufuli ana kila sababu ya kumsifia na kujivunia na ndiyo maana analiendeleza mpaka mwisho, na hakuna tatizo lolote hapo na isitoshe Raisi Magufuli ana miezi 3 madarakani usisahau hilo, kwa maana inawezekana umaarufu wa Raisi ukakufanya kusahau kwamba ana siku 100 tu!
 
Wewe Msulibasi nawe ni jipu, au ndugu wa jipu !
... Mtaishi kwa hofu sana safari hii.
Na mtaendelea kuisoma kwa mbali.
 
Sasa ni miezi mitatu na siku kumi za awamu ya tano.Rais anataja mafanikio
anataja daraja la Kigamboni ambalo simpi alama yaani point nampa JK. Anaahidi daraja jingine hajatueleza kwa umuhimu gani kwa makubaliano bunge lipi , namkata point. Rais anaongelea mapungufu mapya muhimbili na bandarini ,hii ina maana kuwa watendaji wakuu wizarani na kwenye hizo taasisi hawajapewa mikakati ya kimifumo. Tumeishia kubweka katika vi idara tu. Unaloliona wodi moja utaliona wodi za hospitali zote za serekali,na wahusika wanafanya siri.Magufuli asiishie kusema anahitaji sapoti ya wananchi wa imani makabila na kada zote.Wakati moyoni ana kinyongo na kuamini kwenye majeshi amri kama turufu ya kisiasa.Watamshangilia wanafiki lakini wanaoelewa ambao sasa ni wengi wanashika midomo. Mwenendo wetu kidiplomasia ni jambo la kujadili muda wote

yetu macho, msuli,the Godfather
Wasio angalia mambo kwa kina wanaweza wakakutukana.
 
Ww umeifanyia nini nchi yako ndani ya siku 100 hizi za awamu ya tano? nawe umekwama
Hela anazojidai nazo magi eti anazibana unafikiri nani anazilipa?Ni kodi zetu. Kwahiyo jibu unalo. Siku 100 za awamu ya tano watz tumelipa kodi. Swali kwako. je magu na serikali yake wamezifanyia nn hizo kodi zetu ndani ya siku 100
 
Nafikiri basi wala haujaelewa jinsi mfumo mzima wa nchi yetu ulivyo, ni hivi tuna mfumo kwa CCM unaitwa wa kupokezana vijiti na kila Raisi anachukuwa alipoachia mwenzake na mafanikio ya Raisi mmoja siyo ya kwake binafsi bali yanatokana na sera za Chama yaani CCM hivyo kama Raisi Kikwete alijenga daraja Raisi Magufuli ana kila sababu ya kumsifia na kujivunia na ndiyo maana analiendeleza mpaka mwisho, na hakuna tatizo lolote hapo na isitoshe Raisi Magufuli ana miezi 3 madarakani usisahau hilo, kwa maana inawezekana umaarufu wa Raisi ukakufanya kusahau kwamba ana siku 100 tu!
Na huo uozo anaolalamikia na kulia lia kila siku basi aache kulia lia au alie kimya kimya kwa kuwa navyo viliachwa na watangulizi wake chini ya Sera za ccm
 
O
Sasa ni miezi mitatu na siku kumi za awamu ya tano.Rais anataja mafanikio
anataja daraja la Kigamboni ambalo simpi alama yaani point nampa JK. Anaahidi daraja jingine hajatueleza kwa umuhimu gani kwa makubaliano bunge lipi , namkata point. Rais anaongelea mapungufu mapya muhimbili na bandarini ,hii ina maana kuwa watendaji wakuu wizarani na kwenye hizo taasisi hawajapewa mikakati ya kimifumo. Tumeishia kubweka katika vi idara tu. Unaloliona wodi moja utaliona wodi za hospitali zote za serekali,na wahusika wanafanya siri.Magufuli asiishie kusema anahitaji sapoti ya wananchi wa imani makabila na kada zote.Wakati moyoni ana kinyongo na kuamini kwenye majeshi amri kama turufu ya kisiasa.Watamshangilia wanafiki lakini wanaoelewa ambao sasa ni wengi wanashika midomo. Mwenendo wetu kidiplomasia ni jambo la kujadili muda wote

yetu macho, msuli,the Godfather[/QUOTE
Wewe jitathmini siku 100 umefanya nini?
 
Nafikiri basi wala haujaelewa jinsi mfumo mzima wa nchi yetu ulivyo, ni hivi tuna mfumo kwa CCM unaitwa wa kupokezana vijiti na kila Raisi anachukuwa alipoachia mwenzake na mafanikio ya Raisi mmoja siyo ya kwake binafsi bali yanatokana na sera za Chama yaani CCM hivyo kama Raisi Kikwete alijenga daraja Raisi Magufuli ana kila sababu ya kumsifia na kujivunia na ndiyo maana analiendeleza mpaka mwisho, na hakuna tatizo lolote hapo na isitoshe Raisi Magufuli ana miezi 3 madarakani usisahau hilo, kwa maana inawezekana umaarufu wa Raisi ukakufanya kusahau kwamba ana siku 100 tu!
Kumbe kila mafanikio ya Kikwete huyu anayo nafasi ya kujisifia nayo? kwa nini basi na maovu yote haya tunayosema yamefanyika wakati wa JK na yeye asiwe sehemu ya lawama Bali anajifanya kushangaa?
Ndio maana tunasema ccm ni wasanii, nami naungana na mleta mada kuwa kuna dalili kuwa wameshashindwa tayari
 
Ila mi naona mkulu anaonyesha kwamba kuna makosa ya kimantiki na kimaadili yalifanywa na awamu zilizo pita.... anaongelea kama vile tumepata uhuru jana.... sioni shida kwenye hilo kama atayasahihisha ila nnacho shangaa, walio mtangulia wameweza tengeneza taasisi imara za vyombo vya ulinzi na usalama including NEC.... hapo ndo nnapo mshangaa.... vyombo hivo nilivo vitaja,JK alivijenga vyema lakini vingine alikosea.... hapo kwa kweli simwelewi.....
 
Na huo uozo anaolalamikia na kulia lia kila siku basi aache kulia lia au alie kimya kimya kwa kuwa navyo viliachwa na watangulizi wake chini ya Sera za ccm

Lkn sisi hatuna shida na akiyasema hayo yote ni wewe tu na wachache wengine ambao hampendi kusikia akisema hivyo, lkn sisi tunaona sawa tu na ndiyo muhimu mwisho wa siku kwani ndiyo tuliomchagua!
 
Kumbe kila mafanikio ya Kikwete huyu anayo nafasi ya kujisifia nayo? kwa nini basi na maovu yote haya tunayosema yamefanyika wakati wa JK na yeye asiwe sehemu ya lawama Bali anajifanya kushangaa?
Ndio maana tunasema ccm ni wasanii, nami naungana na mleta mada kuwa kuna dalili kuwa wameshashindwa tayari

Kwani ni lini Raisi Magufuli amekana mapungufu yaliyosababishwa na Chama chake? Ni mara ngapi Raisi Magufuli amesema tena hata siku amepewa hati ya ushindi wa Uraisi alienda Lumumba (DSM) Makao Makuu ya Chama na akasema mapungufu yote ya Chama chake na akasema ni lazima Mafisadi wote wasafishwe ktk chamani!
 
Rais amesha sema
Hata panapo kuwepo Malaika lazima shetani awepo
Hatuwashangai watu kama ninyi
 
Hakuna serikali duniani ambayo inaweza kukwama ndani ya siku 100. Obama rais wa Marekani hakupimwa ndani ya siku 100 peke yake, Putin kipenzi cha warusi amefanya makubwa lakini siku zake 100 za kwanza hazikuonyesha dalili za uongozi wake kuja kuwa na neema mbeleni. Ukitegemea mkosi maishani kuna siku utakutana nao, ukitegemea neema lazima utaipata.
 
hapa tunamjenga ,Ninyi ndo mliokuwa mnapiga vifijo mwaka 2015kushabikia escrow pale diamond jubilee
 
Back
Top Bottom