Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Waaaaw wanateknohama
kuna baadhi ya file ziko katika format ya avi. Nataka niziweke kwenye format itakayozifanya ziweze kuchezeka kwenye DVD player
Sasa baada ya ku google nimekutana na misamiati kibao kwa hiyo nahitaji ushauri wenu kwa wajuvi

- Ni software gani nzuri kwa ajili ya kufanya conversion za kutoka avi kwenda VOB au format yeyote ile inayoweza kuchezeka kwenye DVD player
- Niformat zingine zaidi ya VOB zinazoweza kuchezeka kwenye DVD player. eg MPEG2
- Kuna software moja nimejaribu kutumia trial version ikaniuliza nichague picture/video standar kati ya NTSC na PAL. Sasa kwa Natakiwa kuchagua ipi na tofauti ni nini?
- Vile vile nikauliza nichague size ya video . Sasa kwa nikitaka video inekna bila black sreen juu na chini natakuwa kuchgua size gani yaani pixel.
- Na mwisho hii misaimiati ( DivX na XviD) nimektana nayo sana wakati nasoma soma haya mambo ya DVD player kama kuna anayeweza kunipa mwanga anielimishe anipe link yenye maelezo mazuri