avg free

moko

Member
Apr 9, 2011
57
2
avg kilio,jamani nimesafu sn kutaka kujua utofauti kati ya avg free na licensed lkn naona maelezo hajasimama vizuri,wenye experience je avg free ina madhaifu gani kwenye kuitumia?tofauti na licenced
 
naje wataalamu naona avg free kwa ss haipatikani,tusaidiane ni antvirus gani naweza pata kwakudownload free?si unajua uchumi wetu wamanati?
 
jamani huu utata,kwanini kaspesky trial siku 30 iko vizuri sn?hizi nyingine sina wenge gani?nataka kujua fact kaka,hebu chakachua zaidi hapo
 
naje wataalamu naona avg free kwa ss haipatikani,tusaidiane ni antvirus gani naweza pata kwakudownload free?si unajua uchumi wetu wamanati?

Avast ni moja a light weight but effective antivirus. chukua from here avast! Free Antivirus - Download Software for Virus Protection
Micrososot Seceuriry essential nayo ni free na inatengenzwa na microsoft. Download details: Microsoft Security Essentials


google
pia usom review na tathmini za wataalmu juu ya antivirus bora na tofauti zake . One of the review unaweza kuipata hapa Best Antivirus Software | 2011 Antivirus Software Reviews

usiziamini free anti-virus

Freee antivirus kama avast ni bora kuliko virus nyingi za kulipia. Unajua kwa nini wanafanya free. MOja ya sababu antivirus ikiwa na watumji wengi wanakuw na uwezo wa kujua virus wapya haraka. na hivyo kutoa update. Kuna antivirus nyingine za kulipia ni mbaya kuliko hata hata za bure.
 
Nenda cnet nadhani ni dot com inamajina ya yoteeee na mengi zaidi na hata namba ya downloads utaona u popularity wa hizo anti virus etc
 
Back
Top Bottom