Average mtu anakuwa amepitia relationships ngapi kabla ya kuoa au kuolewa?

Wewe ulishapitia wangapi mbona unajistukia? si hadi utakapopata? sas kama 50 poa, 1 poa tu.
 
ha ha ha..... ina maana kama amewahi kua na mahusianao mawili... but stand outs 50 (haijalishi???)

Unajua what i wanna see hear ni namna gani anajifunza kitu kitakachokuja kumsaidia pale atapooa au kuolewa mwisho wa siku
 
Wewe ulishapitia wangapi mbona unajistukia? si hadi utakapopata? sas kama 50 poa, 1 poa tu.

Unafikiri hiyo moja inaweza kukusaidia kuwa strong kwenye ndoa? Hapa naamisha Experience..................
 
Haiwezekani kuna watu wanaidadi bwana,mabasi matatu ya HOOD ameshapita nayo napo hapo sio levo seat na wa kusimama wamo humo.

Dah hii kali, hawa si unakuta wanakumbuka watano tu maana kushika hata majina ya wote ni balaa
 
Unataka kujua ili iweje?

au umejiskia tu kuanzisha sred? upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi mtupu

Upuuzi kwa aliyeanzisha huu uzi, au upuuzi kwa wayafanyayo wanadamu/uzinzi/uasherati kabla ya kuingia kwenye ndoa??
 
Kuna wengine hapa hata baada ya ndoa idadi inazidi kuongeza, hizi semina na mikutano tunaendelea kudaka moja moja
 
Kuna wengine hapa hata baada ya ndoa idadi inazidi kuongeza, hizi semina na mikutano tunaendelea kudaka moja moja

Unajua wanaitaje wenyewe? "UWEKEZAJI" kwasababu wanadai kwakuwa wanaenda sehemu nyingi basi wanataka kila wanapoenda wapate huduma xclusive
 
hahahahahaaa theres nothing fishy kabisa just wanted to hear. But mi nazungumzia wale wa mahusiano kwa kiswahili, zile za "chapchap" haziko kwenye hesabu

sioni unalenga kupata nini hasa katika dunia iliyojaa maradhi..anyway kukidhi kiu yako average ni 100 kuanzia miaka 18-30...source sina
 
Haina idadi maalum lakini kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa kabla ya kuoa lazima uhakikishe umeshakula dada poa,shoga,mke wa mtu,anda eitin na lazima uwe unajua ladha ya ule mtandao nafuu ili ukiwa ndani ya ndoa utulie usichachawe tena na hayo mambo.
 
Mimi siyo mhuni, hii ni kwa takwimu za haraka haraka kulingana na maisha ya watu ya kila siku!
 
sioni unalenga kupata nini hasa katika dunia iliyojaa maradhi..anyway kukidhi kiu yako average ni 100 kuanzia miaka 18-30...source sina

Sina uhakika sana na hili but 100! Mungu wangu lazima atakapokuwa anaingia kwenye ndo utendaji wake unakuwa na depreciation ya 75%
 
Haina idadi maalum lakini kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa kabla ya kuoa lazima uhakikishe umeshakula dada poa,shoga,mke wa mtu,anda eitin na lazima uwe unajua ladha ya ule mtandao nafuu ili ukiwa ndani ya ndoa utulie usichachawe tena na hayo mambo.

Under age utafungwa "Acha kabisa"
Wake za watu utauawa "Koma"
Kule unakokusema ni balaa "Chunga sana"
 
Back
Top Bottom