Average mtu anakuwa amepitia relationships ngapi kabla ya kuoa au kuolewa?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Average, mtu anakuwa amepitia relationships ngapi mpaka kufikia kuoa au kuolewa?
 
nadhani makuzi na jamii aliyokulia mtu inaamua kwa kiasi kikubwa juu ya hili. kuna wasiopitia kokote, 1st relationship, inakuwa ndo 1st love and last marriage!
 
Nimekusoma kwa sauti kubwa sana na well i think hili limebeba jibu zima kabisa
 
unatakiwa uwe nazo relationship nyingi iwezekanavyo, ili ukija kuoa ubaki katika mke mmoja usiwe macho kumchuzi.
sasa wewe umeulizwa unazo ngapi hadi sasa...?? JIBU SWALI msimo jr
 
Ha..hivi zinahesabiwaga!??
Halafu mshindi anabadikwa wapi??
Au ndo yale yale ya:

Masikini_Jeuri

JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 19th January 2010
Location : Igangidung'u
Posts : 4,083

Relationships: 34

Rep Power : 30
 
unatakiwa uwe nazo relationship nyingi iwezekanavyo, ili ukija kuoa ubaki katika mke mmoja usiwe macho kumchuzi.
sasa wewe umeulizwa unazo ngapi hadi sasa...?? JIBU SWALI msimo jr

Hahahahaaa nimesema mi nimeshapoteza track tayari so hata sijui nimeshafikisha ngapi na hapa bado sijaoa
 
Unataka kujua ili iweje?

au umejiskia tu kuanzisha sred? upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi mtupu
 
Minimum 5 relationshps na maximum 15 relationshps,zaidi ya hapo huwezi kuoa tena,na less than hiyo minimum utatoka sana nje ya ndoa coz hutakuwa na uzoefu!
 
Mbona umeguna tena jamani?

Nimeishiwa nguvu.... kwa vigezo vifuatavyo...

  1. Age watu wanaanza Sex zimetofautiana... Mwingine 14... mwingine 18 or 20 plus...
  2. Unaposema Relationship... ina maana alie pitia u-CD... yule mwenye kutegemea one nite stand wooote hao hawahesabiki - kwa hio wewe una shida na alowahi lala nao au mahusiano.... Maana kuna wanaume nawajua mpaka kaoa hajawahi kua katika mahusianoa but kalala na wanawake 50 kidogo....
  3. Alafu swali lako fishy.... what are you aiming at??
 
Hahahahahaaa theres nothing fishy kabisa just wanted to hear. But mi nazungumzia wale wa mahusiano kwa kiswahili, zile za "CHAPCHAP" haziko kwenye hesabu
 
Unataka kujua ili iweje?

au umejiskia tu kuanzisha sred? upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi mtupu

Just wanted to hear views from other people, pole kama imekuudhi
 
Hahahahahaaa theres nothing fishy kabisa just wanted to hear. But mi nazungumzia wale wa mahusiano kwa kiswahili, zile za "CHAPCHAP" haziko kwenye hesabu

ha ha ha..... ina maana kama amewahi kua na mahusianao mawili... but stand outs 50 (haijalishi???)
 
Back
Top Bottom