Avatar

Hebu niambieni waungwana, hapa mnajadili nini? manake hizi fujohado nimefunga kiosk changu kuja kuangalia....naona moshi tu? moto u wapi?
 
Hebu niambieni waungwana, hapa mnajadili nini? manake hizi fujohado nimefunga kiosk changu kuja kuangalia....naona moshi tu? moto u wapi?
karibu kaka, golini umemuacha nani?
 
Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.

Hahahahahahaha...hongera maana kuna njemba nyingine huamua kusarandia dame hapa jamvini kutokana na Avatar tu ;)...lakini huwezi kujua labda kuna kushabihiana kidogo na avatar hizo....LOL!
 
Back
Top Bottom