Avatar

I thought you are talking about AVATAR the movie.... anyone watched this movie?

back to the topic what u think of my avatar?

it can be judged and ranked by the number of PMs you get......
 
Mi i thought it is just a symbol which has nothing to do with a person. sikudhani kama watu wazima kabisa wanaweza kuchanganuikiwa na avator kwenye internet, lakini nashangaa.

ukiibadilisha nitakushangaa sana.
anaejifanya ina mkwaza ni mnafiki kupita kiasi.
kwenye tv na mitaani tunaona migongo mingapi iliyo wazi?
sembuse hiyo picha tena ya kuchora????

mimi naona humu jf kuna unafiki wa walokole
umeingia humu,
mtu huwezi hata kuzungumza kitu,
watajifanya wanamjua Mungu kuliko Mungu mwenyewe.
 
I thought you are talking about AVATAR the movie.... anyone watched this movie?

back to the topic what u think of my avatar?[/QUOTE]

unaonekana kimama cha kizungu kinachovuta sana sigaraaa................ kamejichokea mpaka basi.................
 
Vipi mummy! PM zimezidi nini? kiukweli ni kuwa watu wengi huwa wanahamasika kimapenzi kwa kuangalia avatar.Namaanisha wanaume wengi hapa JF huwa wanashawishika na urembo wa avatar.huu ni ukweli haupingiki.Anayebishia nimuone ni nani.
basi kazi ipo. how come mtu anahamasika na kapicha kama hako kwenye screen?????????????
 
ndugu!
uwe unaangalia na gesti za kwenda,adhawaisi utakuwa unamiss matukio mengi sana

We bwana wee!
Nimekumbuka USALULE!
Narudi kwa Carmel: Ukibadili avatar yako unaingia kwenye IGNORE LIST yangu!
 
mwnzangu watu wanataka kunitoa macho huku kwenye pm lol! mie mke wa mtu siuzi! am not available at all. kuna kufuli:D

hahaha ... men and their brain ... tabu tupu

oow urs is half naked didnt realize till now
 
ukiibadilisha nitakushangaa sana.
anaejifanya ina mkwaza ni mnafiki kupita kiasi.
kwenye tv na mitaani tunaona migongo mingapi iliyo wazi?
sembuse hiyo picha tena ya kuchora????

mimi naona humu jf kuna unafiki wa walokole
umeingia humu,
mtu huwezi hata kuzungumza kitu,
watajifanya wanamjua Mungu kuliko Mungu mwenyewe.
umekuja na tu-hasira twako huku?...yatakushuka sasa hivi!:D
 
Tena wewe big brother, nilishawahi hata kuku-consult kwa swala hili, unakumbuka? kwani wanaume mkoje?
wewe carmel ni mke wa mtu!..
mimi ninakushauri kitu kimoja tu,kama hutaki stresses BADILISHA!una mambo mengi ya kufikiria ikiwemo familia yako,watoto,mumeo,na kazi.acha kuongeza stress za pi-emu KISA AVATA.TOA TU!
 
guilty concisious inakusumbua..
ungejua huwa sikarishwi na mtu humu,
i dont give people that privilege, u can try.....
WEWE amekushinda charity na matakataka yako uliyoyaandika kule unataka tukujadili huku?...HELL!
GROW UP
 
wewe carmel ni mke wa mtu!..
mimi ninakushauri kitu kimoja tu,kama hutaki stresses BADILISHA!una mambo mengi ya kufikiria ikiwemo familia yako,watoto,mumeo,na kazi.acha kuongeza stress za pi-emu KISA AVATA.TOA TU!
Asante kwa ushauri binamu, bado naendelea kuangalia ya kuweka. kutoa definetely ntatoa, hilo nishaamua kulifanya.
 
Back
Top Bottom