Umenisababishia dhambi nyingi na hiyo ya kwako!Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.
Mi i thought it is just a symbol which has nothing to do with a person. sikudhani kama watu wazima kabisa wanaweza kuchanganuikiwa na avator kwenye internet, lakini nashangaa.Carmel.
out of curiousity..
unafikiri ya kwako
imewapa watu mawazo gani??
mimi naona hiyo iliyopo ni safi tu.
Bora! Tutapumua!Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.
Ulipogundua nii?inapagawisha watu sana, inaonyesha una wowow la nguvu linafukafuka humo kwenye panties............. naa mwenyewe unaringa kama nini, umetukeuzia mkia tcheki wenyewe hazina yako............. yaani watu wanaamnini ndivyo ulivyo...............
hata mie sio siri, kuna wakati nilitaka kijitoa JF kwa ajili yako nilipogundua.........................
naona wewe ulienda mbali zaidi!....inapagawisha watu sana, inaonyesha una wowow la nguvu linafukafuka humo kwenye panties............. naa mwenyewe unaringa kama nini, umetukeuzia mkia tcheki wenyewe hazina yako............. yaani watu wanaamnini ndivyo ulivyo...............
hata mie sio siri, kuna wakati nilitaka kijitoa JF kwa ajili yako nilipogundua.........................
Vipi mummy! PM zimezidi nini? kiukweli ni kuwa watu wengi huwa wanahamasika kimapenzi kwa kuangalia avatar.Namaanisha wanaume wengi hapa JF huwa wanashawishika na urembo wa avatar.huu ni ukweli haupingiki.Anayebishia nimuone ni nani.
Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.
mwnzangu watu wanataka kunitoa macho huku kwenye pm lol! mie mke wa mtu siuzi! am not available at all. kuna kufuli
ndugu!Ukiibadili nakuweka kwenye IGNORE LIST yangu!
mmmh, kumbe wengi mlikuwa mnaumia eeh, perverts!