Avatar za Wana JF na Michango yao zinafanana kabisa

Usijali sana kwani hata user name yako imekaa kiavatar avatar na inarepresent your personality vizuri tu
<br />
<br />
asante mkuu, alafu hilo jina GUGWE nilifanyie mpango hapa Chicago, illinois kuna museum inadili na majina ya ajabu ajabu, na bila shaka tuta'make pesa ya maana tu je upo tayari tupge huo mchongo?
 
Mara zote huwa naona Preta, Michelle, Lizzy, Shantel, The Boss, Rejao, Afro Denzi...wanafanana na avatar zao hata za macelebrity. FaizaFox na King'asti...hapana, wako tofauti!

Riwa unaweza kuelezea zaidi hizo similarities ?!
 
Back
Top Bottom