Avatar za akina nani zinakuumiza sana?

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,312
6,845
mimi avatar zinazoniumiza ni hizi hapa:Assumed Men (maumivu ya mbavu)1. Rutunga2. Mzizi mkavu (ile ya zamani, iliyofuatiwa na hii aliyo nayo)3. Invisible (Invicible?) na nyingine nyingi, but in that order,...Assumed Women (maumivu ya roho)1.Firstlady1 2.Preta3.Roselyn... halafu hapa list ni ndefu kidogo, but also in that order!Wenzangu zinawaumiza avatar aidha kimbavu au kiroho au kwa vyote viwili?
 
Ah ..............First Lady inanikuna sana avatar yake! Lkaini ilikuwapo pia ya Binti Maringo sijui yuko wapi.......ile kanga mwisho!
 
Kwahiyo namichoro ya Magazeti ya SANI ilikuwa ikikumiza???ehe je ukibahatika live siunakufa kabla yakufika kwenye tukio??
 
Kwahiyo namichoro ya Magazeti ya SANI ilikuwa ikikumiza???ehe je ukibahatika live siunakufa kabla yakufika kwenye tukio??

LMAO....Betina na Zena...ahahahahaaaaa

Avatar mpya ya Belinda....ni holy guacamole na muy caliente
 
weee acha utani!
avatar yangu inakuumiza?LOL
napenda avatar ya festi ledi..
kwa wanaume napenda ya invizibo:smile:
 
kuna moja ya nani sijui i dont like it, ile anayo mnyofoa mwenzie tumbo na kumpiga nayo kisha analivaa tumbo kama kofia
 
Hivi hakuna aliyependa yangu? Subiri mkipata maumivu hasa ya mgongo na kichwa mtanikumbuka!!

Mi naipenda avatar ya swahiba wangu wa tiba mheshimiwa klorokwini! Unatibia wapi ndugu yangu?:doh::doh::doh:
 
biggy nachukia vidonge mimi,haijalishia ni vya aina gani.

huwa najilazimisha sana kusoma post zako kwa kuwa tu damu ni nzito.........
 
Back
Top Bottom