Avatar yangu ndio tatizo au??

We niombe urafiki,ntakukubalia!like ntakupatia kama mvua!subiri ngoja niingie kwa computa!
 
Kama wewe ni she huna ruhusa ya kumwomba Bishanga urafiki, maombi yapitie kwangu kwanza.

Bidada jamani me sio she mamito ni shemale,sijui kama unatufahamu vizuri,ila wengine wanatuitaga madume jike..jaribu kuchek kwenye net kwa habari zaidi za shemale ili upoe moyo wako na bishanga jamani..
 
Nijuavyo hapa jamvini hatuna mashemale tuna male na she basi ndo maana hauna marafiki

Jamani msitutenge na sisi pia tupo kwenye jamii....halafu mjue nipo serious mwenzenu...ni shemale kweli,nimeona nijitangaze maana mtaani sina raha watu kutwa wananinyooshea vidole.
 
Jamani msitutenge na sisi pia tupo kwenye jamii....halafu mjue nipo serious mwenzenu...ni shemale kweli,nimeona nijitangaze maana mtaani sina raha watu kutwa wananinyooshea vidole.

kwa hiyo wewe unapumuliwa kisogoni halafu unawapumulia na wewe au sio?
 
Dah siwezi kuruhusu kabisa,me ni miongoni mwa wachache kati yetu waliokamilika..

Nijuavyo shemale huwa na sura ya kike kukujua ni mpaka mtu akusaule nguo ndio ajue sasa utasemaje ni katikati ya waliokamilika?
 
tatizo sijui hata kuomba urafiki nafanyaje..

Haya ingia kwenye profile langu!kuna sehemu wameandika 'add as friend',unabofya pale,then fuata maelekezo,utakuwa umeni add kama rafikio!umenielewa?kama ndiyo nipe 'like'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom