Avatar yako ina maana gani?

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
521
87
Zipo za kila aina, nyingine sura bayana ya mhusika nk, wewe yako chanzo chake kipi?
(hope this was never discussed before), la kumradhi!
 
mm ya kwangu inanikumbusha kwamba an apple a day keeps the doctor away kwani eva aliona umuhimu wa kula tunda hadi akamshawishi na mumewe adam naye ale.
 
.... Twende nzetu tuishinde nguvu ya uvutano ... "off gravity" .... Hukooo ... hakuna shida, hakuna majonzi, hakuna taabu..Kuna UPENDO!!!
 
Back
Top Bottom