Avatar ya Meezy

Mwali

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
7,014
5,608
Salam

Nipo kwenye basi, naenga home likizo (Ushongo, Tanga)
Naenda kumuona Anti yangu AshaDii karudi Nyumbani
Sasa hapa next to me kuna dada fulani, msafiii, mzuriii
Ana Samsung Galaxy III, anabrowse JF (tena chit chat)

Nadhani ni charming lady (ila sijaona username vizuri)
Katika kupekua kwake kurasa za JF, mi nasoma in oblique
Nimeona avatar mpya ya Meezy, nikaona niifungulie thread:
Who knows where this Avatar means and where it's from?
atakae weza nampa zawadi nzuri (very pleasurable)

PS: kama unajua, don't spoil the fun, just say it in codes!
tuone kwanza watu ngapi wanajua. Hint: FINISH HIM!
PLEASE, PLEASE, Usiseme wazi, use coded language!

images
 
Last edited by a moderator:

Afu mwali bana. Salama?

Nlikuwa nataka nichangie lakini huyu Mod ndo alinilambaga BAN. Nimesusa.

Akifika hapa cacico mwambie namtafuta eti.
 
mmmmhh, are you sure? mbona hanaga makuu?
Either uliharibu beyond the appologizable point
or kuna mod mngine ameamua kumzushia tu
sitaji mtu but just follow my eyes, jina lake
lina A katikati, linaanza na P, linaisha na W...
 
Hahahahaha! Paw mnamuonea tu! Hana hiyana yule. Si unaona King'asti anavyojishebedua kwake. Huyu jamaa alinilima BAN baada ya kuweka picha yake alivyofumaniwa na mke wa mtu. Nlimwambia anipe laki moja ya rushwa akanigomea. Nikamtundika naye akanipa zawadi ya ban.

Mwambieni kabisa Meezy, picha yake bado nnayo na ntahakikisha naifikisha kwa mkewe. Liwalo na liwe.
 
Hiyo kauli yako ya kiburi hapo in red... mi chimo!
Paw ni mkarim kwa King'asti wake, sio kwako
Haya basi, jaribu ku-guess kwanza hiyo avatar
(in the mean time, nitumie picha ya fumanizi PM)
 
Wallah huyu mjeda akiisoma hiyo red hapo unarestishwa in Piis! Mungu aepushe mbali.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom