Avatar tunazotumia jf, ni kivutio kingine!

Nimekuwa mvivu kuanzisha thread sikuhizi, hata kupitia za zamani.

Hyo ishu ya PM inabidi nkutwange fine kama ulii-delete, yaani nmekumbuka ndo ilikuwa PM yangu ya kwanza kuandika na nikaapa sitam-PM mwanajf yeyote baada ya wewe kunichunia lol

AshaDii alikuja kuvunja kiapo changu.

hahahahah lol
duhhhh haya bana mi ntakubembeleza tu
unisamehe , sina lingine zaidi..
 
hatuchekani wote wachafu na wote tupo kwenye dimbwi la mawazo tutatokaje hapa tulipo! ila mwenzangu wewe naona upo majukwaa yote, unatisha, kila kwa mama muuza lazima upite upate japo kibubu 1 loh!

wewe nona mawazo yamekuzidi-maana naona hata kusimama sasa huwezi
lazima nilpite huku na huku-si unajua mambo ya kuchakarika mpaka huku 2nachakarika
 
Avatar zina potray a member's either thoughts or personality or mwenyewe kabisa alivyo (bcoz kuna wengine wanaweka picha zao) ... Ila zingine zinatisha...hata sijui zina maana gani.....
 
hii mi naipenda mwenzangu njoo jamani nipe rahaaaaaaaaaa
mmmmwaaah!
bollywood's-15-hottest-kissing-scenes-15.jpg
 
wewe nona mawazo yamekuzidi-maana naona hata kusimama sasa huwezi
lazima nilpite huku na huku-si unajua mambo ya kuchakarika mpaka huku 2nachakarika
niliingia jukwaa la kina funzadume kule, loh! niliyoyakuta ilinibidi nitoke balu nakuja kukaachini kutafakari mambo wanayofanya vijana siku hizi,
 
Back
Top Bottom