Avatar tunazotumia jf, ni kivutio kingine!

Avatar? ... Mie sina maelezo ya kutosha kuhusu ya kwangu. Anayehitaji ani-PM.
 
Kunikuta kwenye jukwaa la mahusiano ni ndoto. kazi ni kukombowa nchi kwanza mahusiano yatafuata baadae. nipo kiokombozi zaidi.

Safi sana,..
mie siasa inanipa pressure,.
ili niwe fresh lazima nichanganye kote kote
 
Me avatar yangu inawakilisha wanawake wote wajawazito! Dah nimebadilisha ID from Kibiritingoma to Esperance! Karibu mpendwa.
 
Mimi sielewi jf ni makatili au mna roho mbaya? Zaidi ya watu watatu wanauliza namna ya kuweka avatar na mimi nikiwa ni mmoja wao lakini mnajifanya hamuoni roho mbaya hiyo! Si mtufundishe na sisi tuweke! Mnakuwa kama ccm!!!!!!!!!!!!!
 
Pole mwanajamvi, tusameheane sijawahi kuona swali lako ningekujibu fasta.
Naamini unatumia PC, basi nenda kwenye "SETTING" (top of ur screen) baada ya Id yako na profile.
Ukiingia setting hapo upande wa kushoto kutakuwa kuna vijibox kibao vinakuuliza unataka ku-edit kitu gani hasa, we nenda pale kwenye "edit avatar" ukibofya hapo itakupa uwanja wa ku-browse any picture from ur desktop.
Sijui nmeeleweka?
Hebu jaribu.
 
hahahaah lol Hivi kumbe ae.. samahani sana
ngoja nikaishokonoe huko PM .. Happy Valentine day to you too dear..

watu wa JF wanavisa, sijui nani kaikurupua hii uzi. Nmekumbuka mbali kweli,
ila sijawahi kukushukuru, ulinipokeaga vizuri sana jamvini.
Yah nasubiri jibu la PM yangu lol
 
watu wa JF wanavisa, sijui nani kaikurupua hii uzi. Nmekumbuka mbali kweli,
ila sijawahi kukushukuru, ulinipokeaga vizuri sana jamvini.
Yah nasubiri jibu la PM yangu lol

Usjali mambo madogo tu ..
sasa itumie PM nyingine tena basi hahah ahah lol
maana ile imesha kimbiaga siku mingi "na delete PM kila mwezi"
hahahah lol

user-online.png
chitulanghov huyo jamaa ndo alikusaidia kuifukua ..
si mbaya ilimradi hujafukua mwenyewe..
 
Mimi sielewi jf ni makatili au mna roho mbaya? Zaidi ya watu watatu wanauliza namna ya kuweka avatar na mimi nikiwa ni mmoja wao lakini mnajifanya hamuoni roho mbaya hiyo! Si mtufundishe na sisi tuweke! Mnakuwa kama ccm!!!!!!!!!!!!!

watu JF wana roho nzuri sana
ila wewe umeamua tu kuangalia kinyume nyume ..
What ever it is POLE sana.. haya ntakusaidia kuweka avatar.

sema unataka maelezo hapa , PM au unatakakuni skype.. ??
 
Mkuu,

Kwanza nikupongeze kwa kuwa ctive new member
pili nikushauri kwamba font yako inaonyesha una-shout (bold, big fonts etc) na wengine unatuumiza macho
pia si vibaya kurejea previous threads kuna nyingi tu zinazohusu avatar

karibu tena

Janjaweed!
We jamaa hivi upo?
Mda sana sijagumiana na wewe kunako mijadala.
 
Usjali mambo madogo tu ..
sasa itumie PM nyingine tena basi hahah ahah lol
maana ile imesha kimbiaga siku mingi "na delete PM kila mwezi"
hahahah lol

user-online.png
chitulanghov huyo jamaa ndo alikusaidia kuifukua ..
si mbaya ilimradi hujafukua mwenyewe..

Nimekuwa mvivu kuanzisha thread sikuhizi, hata kupitia za zamani.

Hyo ishu ya PM inabidi nkutwange fine kama ulii-delete, yaani nmekumbuka ndo ilikuwa PM yangu ya kwanza kuandika na nikaapa sitam-PM mwanajf yeyote baada ya wewe kunichunia lol

AshaDii alikuja kuvunja kiapo changu.
 
Back
Top Bottom