Avatar nizipendazo ....

mi ya kwako afrodenzi nimependa macho hayo,jicho la ukweri mpaka chenchi inabaki na hizo lips ndio kabisaa naugua ule ugonjwa wangu..
 
Kuna Member anaitwa Karen_Happuch... Huyu dada nikimuona.. i always feel good..
yaani ana happy spirit fulani katika avatar ambayo hunifanya nikisikie kama i am really seeing the person behind...
XHkKo+DEEQQBYfjnyxxwAIpikf8D3oxF7drAjqQAAAAASUVORK5CYII=
 
Kweli nimeamini sasa ukipendacho wewe wengine hukichukia. Na ukisema wa nini wengine husema nitampata lini.

Yaani hizo avatar zote nazichukia kuliko maelezo. Dahaa haya bana (Jamani msinitoe macho ndo navyojisikia)
 
Dena habari yako...
 
Denaaaaaa!! Mmmh!
 
Mi haka kasimu ka mchina wala hakaoneshi hizo avatar

Yangu inaniacha hoi.........

unusual-road-signs-20.jpg

:( :( :( sjakupata ... mi spendi watu kuteseka

yangu mwenyewe naipenda..

tukuite DJ nani?? au nick name ............

Kama unatumia simu, Switch kwenye PC mode utaziona!

asante kwa kumuonyeshea.. :)

mi huwa ya kwako ndo inanivutia sana
Rose1980 naipenda kwa 7bu huwa ni full kunikonyeza hata kama nimekasirika nitafurahi

FB asante sana :)
yako inanikumbushaa movie ya King Kong ..

lolote alifanyalo mtu lina kind of connection to self

au mazingira na hata watu/ vitu vinavyomzunguka

Hivi kumbe ae duhhh

Usinisahau na mimi hendsome. Ilimchukua jamaa siku nzima kunipiga picha nikiwa serious!

hahahahahahah looohh
na nina mpenda Shriek ...

original paster yake pia nimeipenda wakuu!

ngoja nimtafute ...asante
 
jamni sijui ni mimi tu au ..
Kuna avatar nyingine humu ndani
zinakuvita tu usome hoja zao uone walicho andika loohhhhh
saa nyingine unatabasamu peke yako mbele ya screen ,
waangali kulia kushoto kuhakikisha mtu hakuoni unavyo furahia ,,

Nway baadhi ya avatar ambazo sizipitagi ni hizi hapa...

matumbo.................. Rejao............... mikatabafeki

POSHO ZA VIKAO........ .. Ecoli............. Mkoloni

Je wewe ni zipi zinazokuvutia..
Pamoja sana
AD
Hiyo yako usithubutu kuibadilisha jamani
 
mi ya kwako afrodenzi nimependa macho hayo,jicho la ukweri mpaka chenchi inabaki na hizo lips ndio kabisaa naugua ule ugonjwa wangu..

mwehhhh
unani fanya ni blush ..:)

++++++++++ ======= Perfect match ...
 
Kweli nimeamini sasa ukipendacho wewe wengine hukichukia. Na ukisema wa nini wengine husema nitampata lini.

Yaani hizo avatar zote nazichukia kuliko maelezo. Dahaa haya bana (Jamani msinitoe macho ndo navyojisikia)

Nawe bana ....
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom