Avatar mpya ya Kongosho mmmmmmhhhhhh!!!!!

ndo yupo chuo hapo. sema masomo hayajaanza. huyu atakua anapotea siku za paper tu.hivi wr unafikiri huyu ana ubavu wa kukosa jf wiki? kama vipi atajitahidi aingie kama vistor. kama huamini tumwambie paw ampige ban halafu uone atakavyo toa povu. mambo vipi mkuu?. mia

Mambo powa mzee wa mia, umemuona Kongosho amekuja kivingine
 
wale wote ambao mmechakachua uzi wangu mkiongozwa na Lizzy,Kongosho,Nitonye na Figa nakwenda kuwafungulia RB!sikubali kabisa hii dhulma.
 
Hizi avatar nyingine zitatufanya wengine tushindwe kwenda mbinguni......

Ngoja niende zangu jukwaa la dini...:photo:
 
nimekumiss dear
Kusema za ukweli Kabakabana, mi avatar yako ishanipeleka toilet mara nyingi sana na Revola yangu...

Yaani nimeshaifanyia dhambi mara nyingi tu....

Waweza niifanyia mpango ukautoa huo mkono wa kulia hapo ili mwenzio nipate sababu ya kwenda mbinguni?
 
apaaaa babako
 
mmmmhhh we Aspirin wewe,hebu ngoja niite ambulance tukurudishe mwananyamala,maana...........
 
Babu ODM,
huu utundu wa kusuka ukili ukiwa umekaa kwenye kiti umeanza lini?

Maana raha ya ukili mkekani.

Kusema za ukweli Kabakabana, mi avatar yako ishanipeleka toilet mara nyingi sana na Revola yangu...

Yaani nimeshaifanyia dhambi mara nyingi tu....

Waweza niifanyia mpango ukautoa huo mkono wa kulia hapo ili mwenzio nipate sababu ya kwenda mbinguni?
 
Hahahaha ndio itakuwaje?!
Rijamaa ritaniacha au riujeuri ritaniisha?!
we subiri,bado ninascout humu jf,nataka nimpate player akuwashe mimba kisha aupwake ili na wewe uje mmu ufungue uzi wa lonely heart....'oh wana mmu nisaidieni bishanga kanipa mimba kisha kauchimba,nataka nijiue...bla bla...'
 
Hahahaha Bishanga bana. . . hiyo kitu haitokaa itokee. Na hapo namaanisha kujifanya "Miss Lonely Heart". . mwenyewe ndo utaanzisha ya "sikumthamini na sasa SIAMINI" maana hata ukirudi hutopata nafasi.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom