Avatar mpya ya Kongosho mmmmmmhhhhhh!!!!!

Avatar
avatar...
Mbona yangu haijaazishiwa thread jameni? Na huo mduku wote...
Hahahaaa...hili nalo neno. Usikute jamaa wanaogopa wakianza kukujadili utawzukia usiku. maana umekaa "kimlingotini" ile mbaya
 
Mmbea nani atasema
itakuwa kati yetu tu
tuma tu sijalock

si unajua tena
naweza funga safari hadi china
kufuata umbe
Hhhmm ila naogopa kuitwa mmbea. .
Alafu PM yako mi nilijua ina lock. . nifungulie ntaingia.
 
Mmbea nani atasema
itakuwa kati yetu tu
tuma tu sijalock

si unajua tena
naweza funga safari hadi china
kufuata umbe
Najua unavyopenda umbea. . . utadhani umelogewa!! Sema ole wako siku unigeuke yawe yale ya darasa la pili. . .
 
I swear on my new shoes,
a'm a man of my words.

Huwa sivunji uaminifu kabisa
hasa kwa 'juicy details'

Najua unavyopenda umbea. . . utadhani umelogewa!! Sema ole wako siku unigeuke yawe yale ya darasa la pili. . .
 
fikiria haraka haraka basi
silali nasubiria

afu kesho na mkutano na wazungu
nikichelewa kulala kingereza kinapaa
si unajua kingereza nao ni wito kama udaktari tanzania

Hahaha. . .yani wewe!!
Haya ngoja nifikirie ombi lako.
 
fikiria haraka haraka basi
silali nasubiria

afu kesho na mkutano na wazungu
nikichelewa kulala kingereza kinapaa
si unajua kingereza nao ni wito kama udaktari tanzania
Mkutano wapi nikuletee bahasha lililojaa umbea?
 
Hujaenda chuo bado mbona unalandalanda humu
ndo yupo chuo hapo. sema masomo hayajaanza. huyu atakua anapotea siku za paper tu.hivi wr unafikiri huyu ana ubavu wa kukosa jf wiki? kama vipi atajitahidi aingie kama vistor. kama huamini tumwambie paw ampige ban halafu uone atakavyo toa povu. mambo vipi mkuu?. mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom