Avatar mpya ya Kongosho mmmmmmhhhhhh!!!!!

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Jamani avatar mpya ya Kongosho mmeiona? mmmmhhhhh ...................
Tarifa za kiintelijensia zinasema hii picha ni picha halisi ya Kongosho 'in action' (imepigwa x mass eve akiwa monte carlo,monaco),sasa Kongosho hebu tujuze, katika hiyo picha wewe ni wa kushoto ama wa kulia?
 
Wale wa kudata na avatar utawajua tu. . .

Embu iweke hapa na mimi nione basi.
 
Wale wa kudata na avatar utawajua tu. . .

Embu iweke hapa na mimi nione basi.
Lizzy bana,we hujui mi ni maimuna wa kompyuta? (nilisoma enzi za 'slide rule),embu basi fanya maujuzi uikopi na kuipesti hapa fasta(nakuaminia dear!)
 
Lizzy bana,we hujui mi ni maimuna wa kompyuta? (nilisoma enzi za 'slide rule),embu basi fanya maujuzi uikopi na kuipesti hapa fasta(nakuaminia dear!)
Bishanga mimi nipo Via mobile kwahiyo siwezi. . .
Ngoja Konnie mwenyewe aje labda atatuwekea.
 
ha ha ha, bishanga
Napenda sana argentine Tango
na huwa najifunza
hapo nilikuwa na ....
Nilikuwa namfundisha
na anaonekana kuweza na yeye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom