avatar jf zakukumbusha nini au nani?

Avatal......mi nazipenda sana ila ya Kongosho ndo naipenda na hao jamaa zake
 
Yule wifi yako

Wifi yangu? Kwa vipi? Mimi ni mwanaume bana! Seriously, nilichokuwa namaanisha ni kwamba, kabla ya mwaka mpya, avatar ya dazipozi ilikuwa ni picha ya mdada mmoja hivi amelalia upande mmoja tena wa kushoto. Nlishangaa juzi nakuta picha ya mkaka yuko serious kama kaibiwa cm ya blackberry. Ndo maana nikauliza kama itabadilika tena au itabaki hiihii ya sasa
 
Naomba mtu asiseme kitu juu ya avatar yangu tafwadhali.

Ningependa kujua ya Preta ila naogopa kuuliza!
 
OK. Ulikua unasoma nini? Biology? Kuna kasafari ka kwenda Itombwe kufanya environmental baseline... Walisema toward july 2012. Najipanga sana, nataka niende na hao scientists, hata kama mpishi. lol
environmental science and management.Haya safari njema hope utafaidi na kujifunza mengi.ila sijajua unaenda Itombwe ninayoijua mie ile ya DRC au hiyo iko hapa bongo.kama ni ya DRC utafanikiwa mwona ndege mmoja aitwa "itombwe flycatcher" kama sikoosei
 
Naomba mtu asiseme kitu juu ya avatar yangu tafwadhali.

Ningependa kujua ya Preta ila naogopa kuuliza!

Halo Mtoboa siri, wacha nitoboe.Avatar yako, yanikumbusha Smythie na cartoon series yake ya ***(nimeisahau hiyo character) na mkewe Flo. Ya Preta yanikumbusha mama wa kiamerika aliyekuwa mwalimu wangu sekondari aliyependaa kuweka lipstik ivoivo.Na akilishangaa jibu lako darasani anachezesha midomo ivoivo. Huyo mama akiitwa Mrs Brands.
 
environmental science and management.Haya safari njema hope utafaidi na kujifunza mengi.ila sijajua unaenda Itombwe ninayoijua mie ile ya DRC au hiyo iko hapa bongo.kama ni ya DRC utafanikiwa mwona ndege mmoja aitwa "itombwe flycatcher" kama sikoosei
Ni Itombwe ya DRC. kuna endemic kama 58... nilibahatika kuona 4 of them some 20km from the forest ila sababu ya insecurity hatukuruhusiwa kusogea zaidi(2008).
 
Avatara yangu inanikumbusha tamthilia ya Second chance ambapo Cantalisia alikua mke wa Salvado Serinza niliipenda sn na ckinai kuiangalia,nampenda sn Cantalisia.
 
Kumbe naweza kugombea umiss eh

Kabisa! Ingia mwaka huu 2012 kama ulivyo.Utamsikia yule mhindi akitangaza:"This year' s winner iiiis:Kabakabana of Jamiii Forums!" Lakini nina hofu ya kitu kimoja. Hiyo avatar ni picha yako ya zamani sana. Sasa hivi hapo ulipo umevuta vyumba kadhaa!
 
ya mwaka jana hiyo kwa taarifa yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom