avatar jf zakukumbusha nini au nani?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Heri ya mwaka mpya wapendwa wa JF. Leo nipo tena kwenye avatar za Jf. Kuna avatar humu. kila nikiziona zanikumbusha watu, kitu au mahali fulani: Orodha ya avatar na majina ya watu/vitu ninavyokumbuka ni:

1. avatar ya PakaJimmy: Yanikumbusha Mohamedi Ali, (Cassius Clay) akimshushua mpinzani wake kabla ya pambano la ngumi.
2. avatar ya Keren Happuch: Yanikumbusha Opray Winfrey alipokuwa na umri wa miaka 22.
3.avatar ya Russian Roulette: Yanikumbusha Salama Jabir mwanahabari maaruf Afrika Mashariki.
4.avatar za FaizaFoxy, Asha Dii, Fatma Bawazir na Mwali:Zanikumbusha Tanga Zanzibar na Mombasa
5. avatar za Lizzy na Kabakabana: Zanikumbusha mashindano ya Miss Tanzania
6avatar ya Nitonye: Yanikumbusha Mike Tyson
7. avatar ya Excellent:Yanikumbusha mchezaji Wayne Rooney wa Man U.
8.avatar ya The Finest:Yanikumbusha Nicholaus Anelka anayechezea Chelsea.
Na wewe je? Wakumbuka nini ukiona baadhi ya avatar za wanajf?
..................................................................................................
.....................................................................................................
 
ya kwako inanikumbusha moja ya endangered birds waliopo eastern arc milima ya uluguru anaitwa "ULUGURU BUSH SHRIKE"
 
Heri ya mwaka mpya wapendwa wa JF. Leo nipo tena kwenye avatar za Jf. Kuna avatar humu. kila nikiziona zanikumbusha watu, kitu au mahali fulani: Orodha ya avatar na majina ya watu/vitu ninavyokumbuka ni:

1. avatar ya PakaJimmy: Yanikumbusha Mohamedi Ali, (Cassius Clay) akimshushua mpinzani wake kabla ya pambano la ngumi.
2. avatar ya Keren Happuch: Yanikumbusha Opray Winfrey alipokuwa na umri wa miaka 22.
3.avatar ya Russian Roulette: Yanikumbusha Salama Jabir mwanahabari maaruf Afrika Mashariki.
4.avatar za FaizaFoxy, Asha Dii, Fatma Bawazir na Mwali:Zanikumbusha Tanga Zanzibar na Mombasa
5. avatar za Lizzy na Kabakabana: Zanikumbusha mashindano ya Miss Tanzania
6avatar ya Nitonye: Yanikumbusha Mike Tyson
7. avatar ya Excellent:Yanikumbusha mchezaji Wayne Rooney wa Man U.
8.avatar ya The Finest:Yanikumbusha Nicholaus Anelka anayechezea Chelsea.
Na wewe je? Wakumbuka nini ukiona baadhi ya avatar za wanajf?
..................................................................................................
.....................................................................................................
Mkuu hizo avatar ni watu wengine unaowafananisha na watu wengine ama ndo watu wenyewe?

Sijui menielewa mkuu?

Kwamfano avatar ya PakaJimmy itakukumbushiaje Muhammad Alli?

Na mbona Avatar ya excellent haifanani kabisa na Anelka?

Ama computer yako mkuu?Or macho?lol
 
Afu ya kwako inanikumbusha Nyerere
Usiniulize fomula niliyotumia
Mkuu hizo avatar ni watu wengine unaowafananisha na watu wengine ama ndo watu wenyewe?

Sijui menielewa mkuu?

Kwamfano avatar ya PakaJimmy itakukumbushiaje Muhammad Alli?

Na mbona Avatar ya excellent haifanani kabisa na Anelka?

Ama computer yako mkuu?Or macho?lol
 
Avatar yako yanikumbusha enzi nawinda ndege kwa manati
Afu huyo ndege alikuwa mtamu
Alikuwa anaitwa Kilamaua.

Avatar yangu bado mpya sana mshikaji wangu.Angalia usije kijikumbusha enzi za uwindaji wa manati ukailenga hiyo avatar na kupasua screen ya kompyuta yako!
 
Avatar ya husninyo yanakumbusha lijibibi flani hivi linaishi mpwapwa.

Macho yako mabovu, mbona mimi inanikumbusha miss fulani hivi anaishi Mpwapwa? Kamuone daktari wa macho haraka kabla hujawa kipofu..
 
Mi ya The finest inanikumbusha Stomy Bugzy (freestyle french raper):
bugsy 1.jpg
 
Avatar ya Nyani Ngabu inanikumbusha Album cover ya Lil wayne (The carter III):
220px-CarterIII.jpg
 
Mkuu hizo avatar ni watu wengine unaowafananisha na watu wengine ama ndo watu wenyewe?

Sijui menielewa mkuu?

Kwamfano avatar ya PakaJimmy itakukumbushiaje Muhammad Alli?

Na mbona Avatar ya excellent haifanani kabisa na Anelka?

Ama computer yako mkuu?Or macho?lol

Umesoma thread kwa haraka. Iko hivi:avatar ya excellent yafanana na wayne Rooney sio anelka. avatar ya PakaJimmy kama unavyoiona ni mtu anafoka. Mohamed Ali alikuwa na tabia hiyo ya kuwafokea wapinzani wake kwa kutoa maneno mengi ya kashfa kabla ya kupigana nao.Pengine wewe si mshabiki wa mchezo wa ngumi kwa hiyo hukuwa unazifahamu nyodo za Mohamedi Ali. Kuhusu computer yangu wala dear haina shida. Natumia browser ya Mozilla.Je,Kuna uwezekano browser yangu yaweza kukorofisha mtu ukaona nyoka badala ya mjusi? Mwisho: Ndio, hizo avatar najua sio picha za wenye akaunti hapa Jf.Ni picha za watu wengine ambao nimewafananisha na watu wengine. Itezame sana kwa mfano avatar ya Keren Happuch.Kama wamjua Oprah Winfrey utasema ni yeye kabisa kama alivyokuwa mwaka 1976 akiwa na umri wa miakia22. Au ni picha ya kweli ya Oprah?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom