Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
Wote nyinyi mnasema kwa ajili ya mazoea tu ila kama mkizoea mtaanza kuimba mwimbo wake, kweli tumezoea ile ya zamani ila hii sasa ni nzuri sana, Ila badala ya stick beba jembe babu yangu
Kazi unayo Babu yangu na pia jaribu kuwaeleza tu kwangu mimi sijaona kitu chochote kila ila hofu yangu wasije kukubaka mpaka mawazo yako na msimamo wakoTena inabidi ujieleze vizuri imekuwaje ubadiri avatar yako ghafla bin vuu... nasisi tushaizoea ile ya zamani... Hii ni kukiuka haki za wasomaji wa article zako... mimi nina wasiwasi usha uzwa kwa mafisadi. Hii haikubariki kabisa...!
Duh! Josh...!Kazi unayo Babu yangu na pia jaribu kuwaeleza tu kwangu mimi sijaona kitu chochote kila ila hofu yangu wasije kukubaka mpaka mawazo yako na msimamo wako
Naona kuupgrade avatar yangu kumewakwaza wengine kidogo; wapo wanapenda niendelee na ile ya jembe la mkulima (black and white) na wengine wanapenda hii mpya ya mkwaju (ya rangi). Sasa sijui wapiga kura mnasema niendelee na hii mpya watu wataizoea au nirudie ile ya zamani ambayo kama mmoja alivyosema ni "brand image"..
Ya ZAMANI inaendana na Busara zinazooneka kwenye mada zako mbali mbali. tafadhali rudisha AVATAR ya zamani
Ila angalia hata mawazo yako yasije kuwa na illussion mzee wangu tutakusuta, tutakuuliza na tutakwambia, baki na kuwa conservative kwa kila wazo na usimame pale pale