Auziwa gari isiyokuwa na engine

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,622
154,972
Sika hii kuna jamaa mmoja alikuwa na rafiki yake wako bar wamepigamtungi mbaya wote wakawa chali sasa wakafanya biashara ya kuuziana gari, mshkaji akauziwa WV beetle akaenda nayo fresh mpaka home.,... Asubuhi jamaa akaamka kachukua maji anataka kwenda akapoze rejeta kufungua bonet haoni engine.. acha amind kuwa kauziwa gari bila engine,, akaingia kwenye hilohilo gari kaliwasha hadi polisi kufika mazungumzo yakawa hivi…;-

Jamaa;- nimekuja kufungua kesi ya madai
Polisi;- toa maelezo madai ya nini
Jamaa;-jana kuna mtu kaniuzia gari haina Engine
Polise;- hiyo gari iko sehemu gani?
Jamaa;- iko hapo nje
Polisi;- imefikaje hapa?
Jamaa;- nimekuja naiendesha
Polisi;- we mpuuzi utaendeshaje gari haina engine?
Jamaa;- MAUTAALAMU TU AFANDE mi fundi magari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom