Auwawa kikatili baada ya kukataa 'penzi' la facebook

Hata kama hizo picha si za kweli, mimi haya mambo ya facebook, twitter, online dating nk. kwa kweli hapana kabisa. I just can't trust anybody.

hilo neno!!! wakati mwingine hata kimvuli chako usikiamini!!!
 
Mambo ya adobe photoshop CS4 Extended! Hizo picha hazifanani

No hizo picha ni kama zinafanana vile mtu akifa jamani si anabadilika ..ukicheki uso mbona vinaendana
bora niendelee kuchat na nyie hapa JF lakini huko Kwenye web zingine naogopa mie lol
 
No hizo picha ni kama zinafanana vile mtu akifa jamani si anabadilika ..ukicheki uso mbona vinaendana
bora niendelee kuchat na nyie hapa JF lakini huko Kwenye web zingine naogopa mie lol

FL1 mie hata FB pg yangu nahisi ilifungwanga longiii!!!!
 
hilo neno!!! wakati mwingine hata kimvuli chako usikiamini!!!

You damn right in-law! I don't even trust my own dam self so why in the living hell would I even think of trusting somebody else? Hell no. Mwendo mdundo tu hapa...
 
acheni uoga, hayo hayawezi kutokea bongo bana!!, ila toto limeumbika na hizo boobs.

kabisa....mimi nikiweka address kuwa nakaa unga limited au kambi ya fisi utanipata wapi?......au utaniulizia kwa balozi?
 
Mmh hii inatisha,ngoja nikatoe picha zangu nilizoziweka facebook!

Inatisha sana na unaweza kujutia uamuzi wa kuweka mapicha yako huko FB, mtandao kweli una uzuri wake lakini pia una mabaya mengi tu usipokuwa muangalifu unaweza kujuta au hata kupoteza aisha yako.
 
You damn right in-law! I don't even trust my own dam self so why in the living hell would I even think of trusting somebody else? Hell no. Mwendo mdundo tu hapa...

xactly in-law!!! we are living in a very cumbersome world jamani

Mimi hata kuitumia fesibuku sijui.

afadhali!!! vitu vingine jamani tuviachage vitupite tu...............
 
wakati unasubiri kuyainua macho yako,huyo ameshayainua matiti yake,akiangaza mashababi!!
 
(source unknown; I don't know how genuine the pictures actually are.)

A reminder to those who are on facebook not to give too much of your personal details!!

The girl in the picture posted the nice looking pictures on Facebook and of course she got like a million friend request she accepted all of them. One of the guys started asking her to meet up and I guess to have sex she deny him but since it was Facebook she had put all her info there too so he had her address phone number etc etc so he showed up at her place and then the last 4 pictures tell the story of what happen.....!!!!
linda2.jpg

linda.jpg
Asesinato2.jpg
Asesinato1.jpg

Ndio mwisho wa binadmu muwaji na yeye anasiku yake binti ndio amesha Tangulia kama hii habari ni ya ukweli kama ilivyo simuliwa ,lakini yote tisa Kumi katika picha yake ya mwanzo Msalaba umekaa pazuri Mmmmmmmm.
 
you're sick in the head!!
 
GS nenda katoe fasta ......please ! Binadamu hatuaminiki kabisa sijui inakuwaje ?

Jamani please tusiwewe mambubumbu kiasi hichi ,hivi Tunapoambiwa kuwa waTanzania akili zetu sote zipo average tunaona sifa ?katika Face Book kuna kitu kinaitwa ACCOUNT SETTINGS
kwani mtu asi click hapo halafu akaingia katika privacy setting pamoja na profile setting, utakao wataka waone hizo picha au maelezo yako ni wale ambao unawajuwa (unawaelewa tu ) au unaowataka waone ,tuwe smart wakati mwingine any how silaumu Siasa za Ujamaa na kujitegemea zimetumiza na bado zinaendelea kufanya hivyo.
 
you're sick in the head!!

sasa Steve Dii inadhihirisha wewe ni miongoni mwa watu wachoyo na wenye Roho mbaya zidi ya binadamu wengine ,sasa kwa kuwa huyo Dada amesha tangulia katika safari ambayo kila mmoja wetu atakwenda basi kwa hiyo asisifiwe kwa mazuri ambayo alikuwa nayo wakati wa uhai wake na ndio mana nikasema hiyo picha ya kwanza kwa kuwa bado alikuwa yupo hai na kapendeza kwa mapambo yake .pole Steve Dii by the way are you still taking Medication?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom