Autorun: Eid Mubarac familia ya JF.

Autorun

JF-Expert Member
Mar 21, 2008
557
116
Nawatakia kheri ya sikukuu ya Eid al adha kwa wana JF Wote popote mlipo,
Sio vibaya pia tukajua kilamoja atakua viwanja gani akijumuika na familia yake. Mimi nitakua Ngorongoro weekend nzima na wangu wa huba " Mama Autorun"
wewe je?
 
Mi ntakuwa naandamana ili Ponda na wenzie waruhusiwe kwenda nyumbani kusherehekea Eid afu keshokutwa ndo warudi rumande
 
images
 
hapa busy... Huku nafua, msosi upo kwa oven, sasa nimemaliza kufagia, nifute vumbi nipoge deki, nile then baadae nipige pasi.... Short break alafu kuduuuuuuuuuuuuu then kulala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom