Autopsy: How the dead can reveal the secret of their deaths

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Kumekuwa na matukio mbalimbali ya mauaji lakini kutokana na kwamba mfu huwa hana uwezo wa kueleza alichofanyiwa mpaka akafariki basi huwa ameondoka na siri yake moyoni na kwa sisi Tanzania tuna msema kuwa "Aliyeuwawa atalipwa kesho kwa mungu". kutokana na maendeleo ya Techonology hivi sasa wafu wanaweza kabisa kutoa ushahidi kwa yaliyowakuta mpaka wakaaga dunia kabla ya muda wao kufika. Kumekuwa na matukio mengi ya mume kumuua mke au mke kumuua mume kutokana na msuguano katika ndoa na ku-cover up ili kufake sababu za kifo. Kutana na Forensic Pathologists ili kuona kama na sisi Tanzania tunaweza angalau kufikiria kufikia huko siku moja ili kuwapatia waliouawawa haki zao.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=APeFRuW_lng[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=OmlXteZM3sw[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=1oWGOcTlI0E[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=wMP5F9DRpAg[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=RuDarkNFEck[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=x6kx8eMownI[/ame]
 
Back
Top Bottom