Automotors.co.tz: Tovuti mpya ya kununua na kuuza magari kwa watu binafsi na madila wakubwa

ebookreader

New Member
Sep 27, 2012
1
0
Wakuu,

Kuna hii tovuti impya imeanzishwa hivi karibuni, automotors.co.tz, inayolenga kumrahisisha mtu kuuza na kununua gari hapa tanzania. Wahusika wa tovuti hiyo wanaomba msaada wako kuitembelea na kutoa mawazo yako ya kibiashara kuhusu hapo walipofikia na jinsi wanavyoweza kuiboresha tovuti hiyo ili kumfikia kila mtanzania ambaye yuko kwenye harakati za kununua au kuuza gari.

Vile vile, wataanza kutoa jarida, nalo litaitwa hivyo hivyo automotors, kuanzia mwezi ujao wa kumi. Watajitahidi kulisambaza maeneo yote mjini na ukibahatika kulibata, vile vile wanaomba ushauri wako wa jinsi ya kuendelea na kuliboresha jarida hilo.

Asanteni sana.

NB: Kama ukitaka kuwasiliana nao moja kwa moja, email yao ni info at automotors dot co dot tz.
 
Back
Top Bottom