Automatic Metre Readinf (AMR)-

Maswala

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
560
225
Kwa nini mtu alipe reconnection fee kwa AMRs, ambayo untendaji wake wa kazi ni unafanana na LUKU? Tena ni bora kuliko hata meter za LUKU kwa vile mtu anakata au kurejesha umeme akiwa mezani, ofisini TANESO. Reconnection Fee ilikuwa ni kugharimia mafuta na mtu aliyepaswa kusafiri hadi kurejesha ama kumkatia mtejea huduma za umeme.
 
Back
Top Bottom