Australia Jinsi wanavyo tumia Wanyama wao,

Hiyo zana ishafika bongo? km ndiyo inapatikana wapi kwa "bongo Darisalaamu"
 
wenzake wanafuga ng'ombe wa maziwa yy anafuga kucha! amakweli TUKIKUMBUKA TULIKO TOKA, BASI MASAI ATACHANA CHUPI! kwikwikwi
 
207477_10151065835251880_835717258_n.jpg
Bila shaka huyo atakuwa aliiba kuku akamficha white house, sasa jamaa akamshtukia. Duuh yani huyo kuku angekuwa mtamu sana kama huyo dada angefanikiwa kutoka naye maana kwa joto la injini angeivia njiani pamoja na chumvi ya asili isiyo na madhara nyumbani ni viungo tu.
 
ohoooo! mbuzi mzee, hapa ndo nnapokupendaga kwa kuniekea mambo yangu, nyamu nyamu nyamu! ananikumbusha demu wangu viki kamata. huyu mtoto
 
Picha kama hizi Mbuzi Mzee uwe unaweka tahadhari,Wengine tuna aleji nazo,sasa tazama machozi yamenitoka ofisini nikifikiria lunch niliyotoka kuipata na mtoto ambaye ni malaika wa mungu na mtanzania mwenzangu anaishi katika hali hii....................

Mkuu, naona wewe hujakulia kijijini au huna trip nyingi za kupita vijiji vya tanzania. Hiyo ni kawaida na sehemu nyingi mno na kuna zaidi ya hapo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom