AU's dilemna and the Libyan crisis

Only clean African presidents would be willing to help/support Qaddafi in this war. As we all know, they are all corrupt. When "The West" are fighting dirty wars like this, they cannot be prevented by corrupt African leaders. It easy to tame corrupt leaders.

"You either support us or just shut your mouth otherwise we freeze your family overseas accounts and leak your secrets to the press. We can also freeze our financial aid to your government",
Basi viongozi wetu woooote wananywea kama mbwa koko.

It is a wakeup call for Africans. Vote for clean candidates!
 
Miye simfagilii kabisa huyu fisadi/dikteta Gaddafi lakini pia sikubaliani na haya mashambulizi ambayo yanaua waliokuwemo na wasiokuwemo. Hawa ndio wanachangia sana katika matatizo ya nchi zetu.

Angalia jinsi walivyoangalia pembeni wakati mafisadi/madikteta Mubaraka, Mobutu na wengineo wengi walivyoziangamiza nchi zao pamoja na misaada na utajiri (Zaire) mkubwa waliokuwa nao na bado waliwaona hawa ni marafiki zao wa karibu mno!
 
Each African country should first be swept clean.

If these African leaders could meet to discuss ways of eradicating authoritarian and dictatorial rule, they would be doing themselves a lot good. They should begin from their own homes by bringing in democratic changes and solving their internal tribal conflicts and power struggles. If all African nations were democratic, then the union would have made sense and have an impact on global decisions.

AU should be called African Robbers Union - robbing from the poor to feed the corrupt few tin pot dictators who are killing the African dream. In fact this union is a proxy for the so called free democratic society who has turned a blind eye to the sufferings of the ordinary Africans who have been put into the Dark Ages by their so-called leaders.
 
Na zile "special force" alizotangaza muwakilishi wa Urusi NATO zilizoingia Libya kabla ya maandamano zilikuwa za nani na kwanini ziliingia Libya?


Zilikuwa zikifanya nini? Hivi ni kweli haya maandamano tunayoshuhudia katika nchi za kiarabu na wewe unashawishika kuamini ni kutokana na uchochezi wa nchi za Magharibi?

Hata Gaddafi mwenyewe baada ya siku mbili alibadilisha mawazo na kusema kuwa waandamanaji hawaamasishwi na nchi za Magharibi bali ni Alqaeda na imewapa madawa ya kulevya!

 
Mabeberu wameshaanza mashambulizi ya kumng'oa dikteta Gadaffi, hapo ni vita baina ya waovu wawili NATO watawala wa mabavu wa Dunia na Dikteta aliyeua watu wake wengi ktk kipindi kifupi tena wakati Dunia tumeshajijengea utamaduni mpya wa kuheshimu haki za binadamu na nguvu ya umma lakini Gadaffi anaendesha utawala wake kama vile tupo miaka ya 1950's.
Bila kujali Libya imevamiwa au la, cha muhimu muuaji wa Raia anaenda kuface hukumu toka kwa marafiki zake wa hivi karibuni (Gadaffi miaka ya karibuni amejenga urafiki na marekani na wingereza akidhani jamaa hao ni wema na watambeba ktk udikteta wake).

Ni kweli haifurahishi kwa Mataifa makubwa kuvamia nchi nyingine kimabavu ili kumuondoa kiongozi wa nchi hiyo, lakini kwa mauaji aliyoyafanya GADAFFI hivi karibuni anachokipata anastahili ngoja na yeye na familia yake na ukoo wake waonje raha ya kifo cha risasi na mabomu kama wao walivyowaua raia waliokuwa wakiandamana.
UKWELI ULIO DHAHIRI MWISHO WA ENZI ZA GADAFFI UMEWADIA
 
Meli za kivita za marekani na Uingereza zimefyatua makombora zaidi ya 100 nchini Libya dhidi ya mifumo ya ulinzi wa angani wa kiongozi wa nchi hiyo, Kanali Muammar Gaddaf.
Hapo awali ndege za kivita za Ufaransa zilifanya mashambulizi ya angani dhidi ya maeneo kadhaa kutekeleza marufuku ya baraza la usalama la umoja wa mataifa ya ndege kutopaa katika anga ya Libya. vyombo vya habari vya Libya vimeripoti kwamba mji wa Sirte, ambako ni nyumbani kwa Gaddafi, umeshambuliwa.
Rais wa Marekani Baraka Obama amesitiza kwamba Marekani itakuwa na jukumu dogo katika muungano wa mataifa matano na kuongeza kuwa haitapeleka wanajeshi kwenda Libya.
Waziri mkuu wa Uingereza Divid Cameron ametetea akisema Gaddafi amekiuka amri ya kusitisha kwa mapigano. katika taarifa yake, Kanali Gaddafi amesema atawapa silaha raia wake wailinde nchi yao dhidi ya kile alichokitaja kuwa uchokozi wa waovu.
Deutsche Welle machi 20, 2011
Chatu.... ulikuwa tu hujatoka shimoni tangu jana? Walianza jana na watu wameshajadili sana hiyo habari...
 
Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi

Kawashtaki hawa jamaa kwa China, Russia, Chavez na Iran
 
"you're either with us, or against us"

Huo ndio ushenzi unaoendelezwa na Mmerekani na vibaraka zake.

Unaonaje ukienda kumsaidia? Vinginevyo kipigo kitakatifu kitaendelea kumshukia, wapi Chavez na Hu ji Ntao, mwenzenu huku anachezeshwa sindimba na nyinyi mko kimyaa.
 
Mie namuonea huruma Qadaffi...ni desperation kuona maisha yatakavyokuwa magumu kwake kama atagive up kiti chake cha urais... that made him complete blind.
 
AU inajiadhalilisha kweli, muda wote walikuwa kimya halafu leo hii ndo wanaanza kuzungumza.
Viongozi wenyewe wanaoaminiwa kutatua migogoro ni akina JK, sasa hapo utategemea nini?
 
Wakuu, tatizo hapa hamtaki kuelewa hoja, mnaleta ushabiki kwenye maisha na utu wa watu.. kamwe siwezikubali uvamizi wa kijeshi eti kwa kuwa unafanywa na nchi za magharibi.. Somalia hamna serikali na watu wanauwana, mifano ni mingi ya libya mmeshikia chini.

Mmelishwa propaganda kuonyesha yeye Ghadafi ameuwa raia wengi, je suluhisho ni kuendelea kuua raia zaidi?
 
wamarekani wahuni tu, washenzi na wavamizi na wenye kuingilia mambo ya ndani ya nchi za wengine

kwa kweli nnasikitika sana kwa yanayotokea na jinsi ambavyo yanaendeshwa. yaani dhuluma ilio wazi kuna nchi zina matatizo zaidi ya libya mbona hamjavamia


wamerekani mbwa washenzi na wafuasi wao

Kunywa maji upunguze jazba...Gadaffi lazima aondoke yakheee!
 
Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi

Nakubaliana na wewe bwana Nanyaro, sioni mantiki ya nguvu kubwa sana juu ya Libya! Pia nimependa sana msimamo wa Germany wa kukataa kuunga mkono uvamizi wa kijeshi! Zipo njia nyingi sana za busara lakini uvamizi wa kijeshi siungi mkono kabisa, Iraq mpaka leo hii hakuna amani yoyote licha ya uvamizi wa kumuondoa Saddam
 
nakubaliana na wewe bwana Nanyaro,sioni mantiki ya nguvu kubwa sana juu ya libya! pia nimependa sana msimamo wa Germany wa kukataa kuunga mkono uvamizi wa kijeshi! zipo njia nyingi sana za busara lakini uvamizi wa kijeshi siungi mkono kabisa,Iraq mpaka leo hii hakuna amani yoyote licha ya uvamizi wa kumuondoa Saddam

Ishu ni kumuondoa Gaddafi kwanza. Mambo mengine yatakuja baadaye.
 
Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi
Inasikitisha bahati mbaya sana waafrika hatuna umoja mbaya zaidi tumekuwa waoga
 
Mmmmmh AU mlikuwa wapi siku zote?
Viongozi wa Afrika bwana, sijui huwa wanaongoza nini!!!

According to me, Africa is what it is because of having reactive leaders if they are active in anyway. The mindset trickles down to grass root level where only few people are capable forecasting for their tomorrow and future generations. Leaders give unattainable wisdoms late on trying to show their existence after occurrence of tragedies. No one bothers to work on real long term preventive plans and worse enough the ideas are in most cases not entertained.

AU IS PORTRAYING THE REAL IMAGE OF AFRICAN COUNTRY LEADERSHIP. DON'T EXPECT ANYTHING DIFFERENT FROM AU UNLESS IT CHANGES TO SOMETHING DIFFERENT.
 


19 March 2011


Washington The African Union (AU) on Saturday criticized the launching of military operations by U.S. and European countries on Libya to enforce a United Nations Security Council (UNSC) adopted this week.
French planes fired the first shots, destroying tanks and armored vehicles in eastern Libya eight years to the day after U.S.-led forces headed across the Iraqi border in 2003.

Hours later, U.S. and British ships and submarines launched more than 110 cruise missiles against air defenses in the oil-producing North African country.


CBS news network said that three B-2 stealth bombers dropped 40 bombs on a major Libyan airfield.

Today's attacks were designed to cripple Libyan air defenses as the West tries to force the Libyan leader Muammar from power who has unleashed his forces to crush a popular uprising since mid-February that eventually turned into an armed rebellion that managed to control large parts of the country.
The Libyan opposition leadership, Arab League and Arab Gulf states have demanded that the international community intervene militarily by imposing a no-fly zone to prevent Gaddafi from using his air force against civilian population.

The United Arab Emirates and Qatar are reported to dedicate fighter jets in the military operations. It was only the African Union (AU) that issued a statement earlier this month saying it opposed "any foreign military intervention, whatever its form". Despite this position, the three African countries sitting on the UNSC voted in favor of the resolution which authorized member states "to take all necessary measures ... to protect civilians". But an AU panel established to seek a peaceful end to the crisis called today for an "immediate stop" to air strikes stressing that it rejects "any kind of foreign military intervention" in the north African country.


The situation in Libya "demands urgent action so an African solution (can be found) to the very serious crisis which this sister nation is going through", said Mauritanian President Ould Abdel Aziz who is one of the panel members. A solution must take into account "our desire that Libya's unity and territorial integrity be respected", he said. The AU committee on Libya is composed of five African heads of state. But the meeting in the Mauritanian capital was only attended by the presidents of Mauritania, Mali and Congo. South Africa and Uganda were represented by ministers. The Chairperson of the AU Commission Jean Ping is also believed to be there. The panel was scheduled to travel to Libya on Sunday but it revealed today that they have been unable to get international permission to fly there.

Ironically South African officials expressed doubt whether the AU panel would be impartial and even questioned wisdom of sitting on it. "There are concerns here at home about this panel and whether South Africa should be part of it. It's almost a given what they will say, given their relationship with that man [Gaddafi]," a senior government official told the Mail & Guardian based in South Africa The newspaper said that Government officials in Johannesburg are worried that should the panel return with a recommendation to the AU that favors Gaddafi, it will spoil the image president Jacob Zuma wants to portray on the continent - that of himself as a statesman who believes in brokering peaceful solutions that do not merely serve its strongmen. Western countries and NATO have initially insisted they will not intervene militarily in Libya without approval of regional organizations such as the Arab League and the AU and a UNSC clear mandate. However, references to AU's prior consent were later dropped and Western officials only spoke of Arab League decision. Today an emergency summit of world leaders in Paris called to discuss the implementation of no-fly zone over Libya was skipped by the AU for unknown reasons despite being invited and no African leader was present. In a related issue, the government of Equatorial Guinea today said that Libyan television had misrepresented a telephone call between the country's president Teodoro Obiang Nguema and the Libyan leader. Nguema who is the rotating AU chairman this year, only called Gaddafi to gain guarantees for the security of the AU Observation Committee that was to travel to Libya. "Contrary to what some information disseminated by the Libyan television seems to suggest, the telephone contact established by H.E. Obiang Nguema Mbasogo, President of the Republic of Equatorial Guinea and holder of the current Rotating Presidency of the African Union, with the current President of Libya, Muammar Gaddafi, was due, solely and exclusively, to his responsibility as mediator of the AU, and was for the precise purpose of guaranteeing the security of the Heads of State comprising the Observation Committee that will travel in the next few hours to the areas of conflict" "This Government also wishes to recall that the current rotating President of the African Union has already declared that he will not state any personal opinion, or show any unilateral support to any of the parties, in Libya or in other places of conflict within the African continent, since as Rotating President of this institution, his opinion is ascribed completely to the agreed official posture established by the organizations of the African Union". South African president came under fire in his country last week over a call he made to Gaddafi. Libyan TV had quoted Zuma as telling his counterpart that that the AU should investigate the "conspiracy" against him and the world should not believe what foreign media were saying about Libya. The Ugandan government on Thursday said it opposes "foreign interference" in Libya and declared it will not freeze Libyan-owned assets in the country. Libyan generosity and Gaddafi's role in the creation of the African Union could explain the continental cautious stand, experts say. The AU was born in the 1999 Sirte Declaration, named after a summit hosted by Gaddafi in his hometown on the Libyan coast. The declaration said its authors felt inspired by Gaddafi's "vision for a strong and united Africa." "The AU as an organization has benefited significantly from Gaddafi's wealth," said Fred Golooba Mutebi of the Institute of Social Research at Kampala's Makerere University to Agence France Presse (AFP).

Delphine Lecoutre, a researcher with the French Center for Ethiopian Studies, pointed to the AU's weak statement as an example of the PSC timidity in facing up to the behavior of its leaders. "There was a Peace and Security Council meeting on Libya, which resulted in a cosmetic communiqué hardly condemning the violence in Libya and putting it in a [clever] way, loss of human life and destruction of property, but nothing regarding the political situation in the country," said Lecoutre. "It is difficult for the AU to deal with that case."
 
Back
Top Bottom