Makindi N
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 1,066
- 173
Napata picha mnaompinga Mwita ni wateja wa huyo mama Sadaka Gandhi........... Si bure...... Mwita si mtu wa kwanza kuleta mada ya kutaka kufahamu CV ya mtu kwa sababu ya kazi zake za kiutatanishi. Mbona last week km sikosei kuna mada ulikua inamhusu Dr. Masaburi, je daktari wa binadamu au PhD iwe ya udakatari au fani nyingine.... Mbona hamkujibu mnayoyajibu hapa? Kwa sababu huyu mama nyie ni wagonjwa wake au? Anaweza kuwa anataka waokoa msije kufa bure/ au matatizo yenu zidi.......
Mwisho wa siku mwenye data za huyu mama azianike (CV namaanisha).
Mwisho wa siku mwenye data za huyu mama azianike (CV namaanisha).