Aunt Ezekiel!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
1258353000_wikiendapg.jpg


Source: http://www.globalpublisherstz.com/2009/11/16/aunt_bwanake_watimuliwa.html
 
Huyu binti si ni yule muigizaji filamu za kibongo...Sijui ananini maana kila kukicha ni habari zake magazetini...kazi kweli kweli.
 
hana mchango wowote zaidi ya kutia aibu

Porjie, watu kama hawa kwenye jamii wapo tu.... we cant avoid. Lakini naskia ni muigizaji wa video za kibongo...( who cares wat movies she ha acted anyways...)
 
Mengi yaandikwayo na Magazeti ya Udaku bongo ni ya uongo. Hiyo stori imepikwa sana
 
huyu demu nasikia ana gundu kishenzi;ukiwa naye jiandae kufilisika au kupata mikosi kazini nk jackie pemba alichungulia shimo akashituka;halfu nasikia ni shemale sijui ndiyo maana ana gundu!?
 
Mama Mia hiyo avatar yako mbona nayo ni kama picha za magazeti ya udaku tu?

 
jamani aunt???????????????????mwanamume????????????

mama mia 'aunt ezekiel' jina linatuchanganya wengi, maana hata wanaume ambao si rizki nao wanaitwa aunt .......

sasa huyu na hilo jina la ezekiel ndo kabisa, labda ni kama yule 'mkimbiaji' wa SA?!
 
una tegemea mchango wa kila mtz kuijenga hii nchi!!!??? sio rahisi.

'msafara wa mamba na kenge wamo'

Hata hao viongozi wenu mnaodhani wana mchango katika ujenzi wa taifa hili ni wezi tu! Ndio ndio wanaaongoza kwa kulibomoa taifa!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom