Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

umbea tu!
we nae ingia tu hapo baharini uweze kuoga maana umbea ulikuwepo tangu mwanzo ila sisi ytunauendelza tena we nahisi ungekuwa msanii wa bongomovie usingeuza hata movie moja maana unaonekana una roho mbaya kama ya paka mwenzenu kufungungiwa umefurahiiiiiiiiiiiiiiii,,,haya igiza we tukuone
 
Aunt alifungiwa na viongozi wa Bongo Movie kushiriki katika filamu kwa miezi minne,,,eti kisa kikidaiwa ni nyodo na mengine yaliyo nyuma ya pazia...mbona kuna watu kibao wakorofi kuliko aunty au hawawaoni

Sipendi matendo ya huyu mwanamke...lakini sioni mantiki ya kumfungia,kwanza hiyo Bongo Movies ndio mamlaka gani? Maana ndio naisikia kwako mkuu,imeanzishwa kwa sheria ipi? Isije ikawa wahuni fulani wamejikusanya wakatengeneza uharo huu.........
 
kwani wamemuona yeye tu? mbona kama ni nyodo wengi wanazo.
 
Eti ana nyodo??
Hawa Jamaa wapuuzi kweli, nyodo za mtu wao zinawahusu nini?
Wamenikera sana kumfungia Aunt, ana haki ya kuwa na nyodo mtoto,, hawa washamba wivu tu unawasumbua!
 
Dah! Mi aunt ezekiel tu ndio namkubali. Hizo mamlaka ziache kuingilia maisha binafsi
 
Dah! Mi aunt ezekiel tu ndio namkubali. Hizo mamlaka ziache kuingilia maisha binafsi

kumbe na wewe unajua kuchagua wa kuwakubali!! Mi naona hawa majamaa self esteem yao ina utata ndo maana wanajihami dhidi ya yeyote mwenye konfidensi kuwazidi, wanabaki kusingizia eti nyodo...
 
aunti_ezekiel1.jpg
 
youngnoteva,hujamtendea haki antiezekiel.kumbe unaskendo kbao za watu hao na umeztia chini ya godoro? Lazma utakuwa ulikuwa midomen(unanufaika nazo).usitunze uovu kwa sababu tu haujagusa maslahi yako au ya wale uwapendao
 
Aunt alifungiwa na viongozi wa Bongo Movie kushiriki katika filamu kwa miezi minne,,,eti kisa kikidaiwa ni nyodo na mengine yaliyo nyuma ya pazia...mbona kuna watu kibao wakorofi kuliko aunty au hawawaoni

kumbe miezi minne tu!
 
Hiyo bongo movie ni nini? Ina mamlaka gani?
Ipo kwa sheria ipi? Ipo chini ya wizara gani? Nani ana iongoza? Imeanza lini? Ina miliki nini?

Mbona mnanichefua hamjui kuwa ccm washatuuzi jamani?

Jason punguza hasira kaka lol.
 
Mleta mada sasa umekuja kutueleza ili tuandamane kumtetea? Tukawachimbe bit wahusika?tumtafutie kazi au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom