Aunt Ezekiel heshimu wakubwa, kuna maisha baada ya uchaguzi

gps boy

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
447
65
Dada Aunti Ezekiel,

Jaribu kuangalia mbele, heshimu wakubwa, Mh. Lowassa ni zaidi ya Baba yako, hustahili hata chembe kumtukana binti. Kumbuka hayo matusi hayana muda mrefu, mwisho wake ni tarehe 25/10/2015, lakini maisha yataendelea.

Kumbuka CCM inakutumia, matatizo yatakuwa yako binafsi na mjane mama yako.

UKAWA tunakutakia kila la heri katika kumtukana Mh. Lowassa ila MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.
 
Dada Aunti Ezekiel jaribu kuangalia mbele heshimu wakubwa Mh.Lowassa in Zaidi ya Baba yako hustahiri hats chembe kumtukana binti .Kumbuka hayo matusi hayana muda mrefu mwisho wake ni tarehe 25/10/2015, lakini maisha yataendelea .Kumbuka CCM inakutumia matatizo yatakuwa yako binafsi Na mjane mama yako.Ukawa tunakutakia kila la heri ktk kumtukana Mh.Lowassa ila MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI

Msimlaumu! Anaota ya kuwa nyalandu atakuwa rais!
 
alafu huyo changuo sio mwanasiasa kwann hamsambulie Lowassa? angekuwa ni mwanasiasa fine...lakini yeye sio mwanasiasa
 
Mama yake alifariki kwa Mwalikanga (greed) kalelewa na bibi yake ndio maana hana adabu hata robo!
 
me naogopa tu hata kucomment maana baada ya uchaguzi tutasikia mengi..
 
Dada Aunti Ezekiel jaribu kuangalia mbele heshimu wakubwa Mh. Lowassa in Zaidi ya Baba yako hustahili hata chembe kumtukana binti. Kumbuka hayo matusi hayana muda mrefu mwisho wake ni tarehe 25/10/2015, lakini maisha yataendelea. Kumbuka CCM inakutumia matatizo yatakuwa yako binafsi Na mjane mama yako. Ukawa tunakutakia kila la heri katika kumtukana Mh.Lowassa ila MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.

Ushauri huo unaweza kumpa mtu mwenye adabu. Mtu mwenyewe hana adabu wala heshima anawezaje kuheshimu watu?
 
Dada Aunti Ezekiel jaribu kuangalia mbele heshimu wakubwa Mh. Lowassa in Zaidi ya Baba yako hustahili hata chembe kumtukana binti. Kumbuka hayo matusi hayana muda mrefu mwisho wake ni tarehe 25/10/2015, lakini maisha yataendelea. Kumbuka CCM inakutumia matatizo yatakuwa yako binafsi Na mjane mama yako. Ukawa tunakutakia kila la heri katika kumtukana Mh.Lowassa ila MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.

Kasema nini tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom