Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

Mtoto wa aliye kuwa mchezaji hodari wa timu ya Simba AKA wazee wa matopeni Grayson Ezekiel au jina maarufu "Jujuman", Aunt Ezekiel naye kwa namna moja au nyingine ashaanza kujitangaza kama yeye ni mfuasi wa dini ya kishetani ya illuminati.

View attachment 406150

Wafuasi wengine wa dini hiyo;
View attachment 406151

View attachment 406152

View attachment 406153

View attachment 406154

View attachment 406155

Naona maisha yashaanza kumshinda akaona siyo kweli hawezi kufa na kiu baharini ngoja ajaribu upande wa pili.

[HASHTAG]#Hance[/HASHTAG] mtanashati##siyo mtu##wa mchezo mchezo##
We ni mdaku unaunga unga habari kutuletea story humu... mtu akifanya kitu kidogo tu cha kawaida basi tayari kashakuwa illuminati
 
Wabongo hata kama ukifanya kitu bila kukusudia wanakulebo hivyo, madhali wewe ni celebrity!
Je tutafika?
 
  • Thanks
Reactions: 247
Mbona unafukua nyuzi ya tangu 2016 halafu kwa kucheka tu, una shida gani meku
Nilikua nasubiria kitimoto hapa Kerege ndo nikaona nibarizii
 

Attachments

  • images (57).jpeg
    images (57).jpeg
    39.2 KB · Views: 1
Mmmmmmmh!!! Wakati mwingine unaweza kufanya ishara fulani pasipo kujua maana yake halisi, sasa sijui kama muhusika anaelewa maana yake au ni pozi la kwenye picha!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom