Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

Mtoto wa aliye kuwa mchezaji hodari wa timu ya Simba AKA wazee wa matopeni Grayson Ezekiel au jina maarufu "Jujuman", Aunt Ezekiel naye kwa namna moja au nyingine ashaanza kujitangaza kama yeye ni mfuasi wa dini ya kishetani ya illuminati.

View attachment 406150

Wafuasi wengine wa dini hiyo;
View attachment 406151

View attachment 406152

View attachment 406153

View attachment 406154

View attachment 406155

Naona maisha yashaanza kumshinda akaona siyo kweli hawezi kufa na kiu baharini ngoja ajaribu upande wa pili.

[HASHTAG]#Hance[/HASHTAG] mtanashati##siyo mtu##wa mchezo mchezo##

Illuminant asiye hata na nyumba ya kusihi???
 
Neno Iluminat linatumika vibaya sana!
Kweli kabisa (Illuminat inatoka katika enlighten, au Light)
lakini wao hao mapepo wanasema mambo yao na yasijulikane popote pale katika uhalisia wake bali katika namna ambayo haitaeleweka kwa watu wengine. ndio maana wanafanya mengi kwa symbols pia kwa kutumia neno la Mungu. Humo utaona misalaba iliyo na mwonekano ule ule wa Kimungu lakini wanatwust kidogo kiasi cha mtu wa kawaida asigundue.
 
Kuna kipindi Mzee Yusuph alizushiwa sana kujiunga na freemasons kipindi kile jahazi ina hit sana. Juzi tu hapa namuona ametoka Hijja msikiti wa Mecca Alhaj Mzee Yusuph
 
Hakuna cha illuminati,wanaoitwa illuminati wote walizaliwa ka wewe na mimi,ukiamini kuna illuminati utakufa masikini.ni ujanja tu kupumbaza masikini hili tuzidi kuwa masikini,mfano jay z historia yake mziki inajulikana mpaka kuwa milionea afu shenzy type wanakuambia illuminati,basi hata Mo dewji,Mengi,Bakhresa wote illuminati.
wanaweza kuwa illuminat ,ila pia wako na jitahada kwa kile wanachofanya
 
Kuna kipindi Mzee Yusuph alizushiwa sana kujiunga na freemasons kipindi kile jahazi ina hit sana. Juzi tu hapa namuona ametoka Hijja msikiti wa Mecca Alhaj Mzee Yusuph
freemasonry wanataka watu walio na dini ama imani fulani ndio wawe wanachama wao,kwa hiyo kwenda Mecca haiwezi kuwa sababu kwamba mtu si freemason ,pia kuwa askofu ama cardinal pia si kwamba ndio huwezi kuwa freemasonry
 
Vigumu sana mkuu, ule ni mji mtakatifu na tukio linalofanyika ni takatifu
 
hivvyo ndivyo unavyodhani kwa kadri ya ufahamu ulionao,labda kwasababu hujafahamu vyema freemasonry,kama utakuja jaaliwa kufahamu utanielewa
 
Mtoto wa aliye kuwa mchezaji hodari wa timu ya Simba AKA wazee wa matopeni Grayson Ezekiel au jina maarufu "Jujuman", Aunt Ezekiel naye kwa namna moja au nyingine ashaanza kujitangaza kama yeye ni mfuasi wa dini ya kishetani ya illuminati.

View attachment 406150

Wafuasi wengine wa dini hiyo;
View attachment 406151

View attachment 406152

View attachment 406153

View attachment 406154

View attachment 406155

Naona maisha yashaanza kumshinda akaona siyo kweli hawezi kufa na kiu baharini ngoja ajaribu upande wa pili.

[HASHTAG]#Hance[/HASHTAG] mtanashati##siyo mtu##wa mchezo mchezo##
Kwahiyo hii dini huwa wanachagua jicho la kulifumba?
 
hivvyo ndivyo unavyodhani kwa kadri ya ufahamu ulionao,labda kwasababu hujafahamu vyema freemasonry,kama utakuja jaaliwa kufahamu utanielewa
Sawa mkuu, nitalifanyia kazi nipate ufahamu zaidi. Kwamba mtu aliyejiunga na freemasons anaweza kufanya ibada ya hija huku akiendelea na ufriimason wake
 
Illuminati ni secret society ya juu sana, kwanza ni wabaguzi wa rangi, pia wanachukua watu wenye IQ kubwa sana. Huwa watoaji na mwenye kusaidia watu, hivyo ni watu matajiri sana na viongozi. Mfano ni JP Morgans na Rockefeller. Wengi wao huanzisha taasisi za kumataifa kusaidia wasiojiweza.
 
Mtoto wa aliye kuwa mchezaji hodari wa timu ya Simba AKA wazee wa matopeni Grayson Ezekiel au jina maarufu "Jujuman", Aunt Ezekiel naye kwa namna moja au nyingine ashaanza kujitangaza kama yeye ni mfuasi wa dini ya kishetani ya illuminati.

View attachment 406150

Wafuasi wengine wa dini hiyo;
View attachment 406151

View attachment 406152

View attachment 406153

View attachment 406154

View attachment 406155

Naona maisha yashaanza kumshinda akaona siyo kweli hawezi kufa na kiu baharini ngoja ajaribu upande wa pili.

[HASHTAG]#Hance[/HASHTAG] mtanashati##siyo mtu##wa mchezo mchezo##
Hapo umenifurahisha sana mkuu,yani nimeisoma kwa amani mno
 
Kwani mtu kupiga hivyo picha keshakuwa illuminate acheni kukuza maneno

Sasa mwanzo kwani kuna watu walikuwa hawapigi picha hivyo au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom