Aumbuka kwenye daladala

suri

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
404
260
Habari wa JF

Jamaa moja alipanda daladala,akiwa anaendelea na safari akajihisi kujamba.Ili abiria wasisikie/wasijue akijamba akawa anajamba kwa kufuatisha midundo ya mziki.Wakati anashuka kwenye daladala akaona abiria wote wanamuangalia huku wengine wakiche!Kumbe jamaa alikuwa anasikiliza mziki kupitia headphones za simu yake
 
Kwenye gossip nako kuna tetesi!!! Hii kali kama kichekesho chenyewe kilivyo kikali haaaaah!!!!
 
Habari wa JF

Jamaa moja alipanda daladala,akiwa anaendelea na safari akajihisi kujamba.Ili abiria wasisikie/wasijue akijamba akawa anajamba kwa kufuatisha midundo ya mziki.Wakati anashuka kwenye daladala akaona abiria wote wanamuangalia huku wengine wakiche!Kumbe jamaa alikuwa anasikiliza mziki kupitia headphones za simu yake

ha ha ha ha umetisha teh teh jama huku nzii wana mfuata kwa nyuma teh. Teh.
 
Back
Top Bottom