Augustino Lyatonga MREMA, Namvulia Kofia

pamoja na yooote mrema ni mtu aliyetumwa kurise na kubreak hearts za watanzania katika upinzani... hii ilisaidia sana kuua morale ya particip[ation in politics na voting. zitto wanted to repeat the game but chadema under mbowe has been stronger! tunawashukuru chadema kwa kuzua trauma zisijirudie tena!!

Mkuu, unafanya kosa kubwa sana kumfananisha Zitto na Mrema. Mrema is patriotic and Zitto is an opportunistic and selfish. Fuatilia hii thread tangu mwanzo utaona tangible things ambavyo Mrema anakumbukwa kwamba alifanya. Can you list any for Zitto?

Pili Zitto yuko kwenye payroll ya mafisadi wakati mrema hayupo. Kumfagilia JK mwaka jana ilikuwa ni mkakati tu wa kurudi kwenye siasa, tusubiri tumuone atakavyofanya sasa
 
pamoja na yooote mrema ni mtu aliyetumwa kurise na kubreak hearts za watanzania katika upinzani... hii ilisaidia sana kuua morale ya particip[ation in politics na voting. zitto wanted to repeat the game but chadema under mbowe has been stronger! tunawashukuru chadema kwa kuzua trauma zisijirudie tena!!

Hapa nasikia kizunguzungu, unamfananisha Mrema na Zitto mkuu?
 
mkuu, unafanya kosa kubwa sana kumfananisha zitto na mrema. Mrema is patriotic and zitto is an opportunistic and selfish. Fuatilia hii thread tangu mwanzo utaona tangible things ambavyo mrema anakumbukwa kwamba alifanya. Can you list any for zitto?

Pili zitto yuko kwenye payroll ya mafisadi wakati mrema hayupo. Kumfagilia jk mwaka jana ilikuwa ni mkakati tu wa kurudi kwenye siasa, tusubiri tumuone atakavyofanya sasa
stay blessed man,
 
MREMA.....naona mpo kwenye harakati za kumlipa fadhila katika harakati zake za kuizamaisha chadema, kwani huyu jamaa ni rafiki wa CCM kuliko chadema.....

sio mbaya...sikio la kufa linahangaika kusikia dawa, ila hana siku nyingi kwenye siasa
 
kwahiyo angekuwa rafiki wa chadema ungemsifu...atutaki unafiki humu..just facts....the guy has done so much for tanzanians...na ndio hana siku nyingi bcause he is old you idiot......hana umri wa zito au wa slaa padri wenu...
 
MREMA.....naona mpo kwenye harakati za kumlipa fadhila katika harakati zake za kuizamaisha chadema, kwani huyu jamaa ni rafiki wa CCM kuliko chadema.....

sio mbaya...sikio la kufa linahangaika kusikia dawa, ila hana siku nyingi kwenye siasa

Hivi Mrema angejiunga na Chadema angepewa jimbo kugombea? Binafsi sioni tatizo hata kama kuna harakati za kumlipa fadhila. Bado naheshimu na kuthamini mchango wake mkubwa alioutoa kwenye harakati za kukomboa maskini wa nchi hii. Haya mengine kwamba amemsifu kikwete ni madogo sana
 
Kwa jinsi alivyo toa mchango katika ukuaji wa demokrasia hapa mchini ilistahili vyuo vyetu vitambue mchango wake na kumtunukia shahada heshima ya udaktari katika kukuza democracy. Sio kuwatunukiwa viongozi wanaotoa mchango kwa familia zao tu.
 
Haya wadau, namba nirekebishe kauli yangu kutokana na aliyoyasema huyu mzee kuhusu Chadema leo.

Nanvulia Mrema kofia kwa mambo yote aliyoyafanya siku zote kabla ya leo. Halafu namvalia kofia yangu kuanzia leo hadi atakapotubu na kuwa mpinzani wa kweli.
 
Mwambie dokta Mrema aende pale Oceanic nimemuagizia bata nusu, amuone kaunta ampe mzigo aongeze afya
 
Mrema has proved more than mbowe, at least he started the revolution , mbowe kafanye nini?
 
Na mimi, namvulia kofia na kutamani angeweza kuunganisha nguvu na Dr. Slaa (The Prezidaa)[/SIZE][/FONT][/QUOTE]
Tatizo la Tanzania na wanasiasa wetu ni hili Mkuu. Ni kweli Mrema, Slaa na Mtikila kama wangeliungana wangeinasua nchi hii, lakini ubinafsi ndio tatizo letu. Pamoja na mema aliyofanya Mrema (namvulia kofia pia), kutaka kwake umbele kunaweza kuwa kikwazo cha kuungana na CDM. Naamini akiambiwa ajiunge na CDM atataka apewe uenyekiti wa Chama. Si vibaya, lakini sidhani kama CDM watakubali hilo.
Kutengana kwa upinzani ni hasara kwa Watanzania na faida kwa CCM
 
Mimi naanza na Mwenyekiti Augustine Liyatonga Mrema, aliitikisa sana CCM mwaka 1995 kwenye Uchaguzi Mkuu. Je unaweza kuwakumbuka viongozi wengine waliounda safu ya uongozi wa NCCR Mageuzi, karibu...
Hivi Tundu Lisu alijiunga lini na NCCR Mageuzi
 
Mimi naanza na Mwenyekiti Augustine Liyatonga Mrema, aliitikisa sana CCM mwaka 1995 kwenye Uchaguzi Mkuu. Je unaweza kuwakumbuka viongozi wengine waliounda safu ya uongozi wa NCCR Mageuzi, karibu...

Mabere Marando, Mtalaamu Masumbuko Lamwai, Mshambuliaji asiyezuilika nyakati zile Augustine Lyatonga Mrema, na yule aliyegeuza nyumba yake kule Tabata ikawa Ofisi ya Nccr, nk nk Siasa bwashee sio mchezo.
 
Back
Top Bottom