Augustino Lyatonga MREMA, Namvulia Kofia

siyo hapo alipo sasa hivi tu mkuu, bali tangu alikotoka na jinsi alivyorudi hapo alipo. Angaza kwa makini kama utampata mwanasiasa mwingine anayefuzu vigezo vya Mrema
inategemea vigezo gani mkuu, ila kwangu mimi mrema siwezi kumrate highly, namuona msanii
 
Unajua jambo moja unique kuhusu Mrema ni uwezo wake wa kutafsiri hali ya uwanja wa mapambano na kutengeneza mkakati wa kutokea bila kushindwa. His come back to high rank politics siyo kitu ambacho kinaweza kufanywa na wanasiasa wengi.

You are right, lets wait for his performance with the committee

Hahahahahaaa Muhosni!

Usimtanie mzee wa watu, eti anajua kutafsiri hali ya mchezo.

Lets all wish him well maana any positive achievement will be for the good of the land.
 
Hahahahahaaa Muhosni!

Usimtanie mzee wa watu, eti anajua kutafsiri hali ya mchezo.

Lets all wish him well maana any positive achievement will be for the good of the land.

Aisee kama umewahi kuwa naye karibu, ni mtu anayefikiri kwa kasi sana na anatengeneza mikakati ya papo kwa papo ndiyo maana wengine humuona kama dictotor. Anaongoza wasomi na PhD na anawazidi maarifa!
 
Anabaki kuwa mwanasiasa aliyepanda chati na kuchuja kwa kiwango cha kutia huruma. Amepigika kimaisha mpaka sisiem ilipomwonea huruma na kumpatia ubunge na uenyekiti wa kamati. Vinginevyo, mzee wa watu angekuwa choka mbaya. Angeanza hata kuongeza soli za viatu.

No wonder you have 1,610 posts under ur name!Appreciate someone's contribution....!
 
Kkwete na Mrema.jpg
Birds of a feather - Wasanii watupu !

Augustino Lyatonga Mrema alipokamata dhahabu mwaka 1994, alinyamazishwa na Raisi Ali Hasan Mwinyi kwa kuonyeshwa mafaili yake na madhambi yake siku za nyuma. Kama angekuwa real huo ndio ulikuwa wakati wake murua wa kuonyesha uzalendo na kujiuzulu lakini wapi aache Unaibu Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya Ndani, thubutu ! Yafaa tukumbuke kuwa wakati Mwinyi anajiuzulu Uwaziri kwa mauaji ya Shinyanga, ofisa wa usalama wa mkoa wakati huo alikuwa Augustino Lyatonga Mrema, changanyeni na za kwenu.

Mrema kama anavyoonekana hapo juu akisakata ngoma na Jakaya Kikwete kilichomponza ni ulafi wake wa kula bila kunawa kwa kuingilia sakata la Chavda mwaka 1995 mwanzoni. Alilivalia njuga kwa sababu alitaka kula huku na huko bila kujua ameingilia anga za watu wengine, wakati huo Waziri Mkuu akiwa David Cleopa Msuya. Safari hii walafi wenzake waliweza kufanikiwa kumtosa na hivyo kuukosa Unaibu ndipo bila aibu akadandia gari la mageuzi na hivyo kula matapishi yake.
 
Mkuu hebu tulia kwanza kidogo.

Mtikila alianzisha sera ya makabachori na walalahoi. Pamoja na kulaumiwa kuwa ya kibaguzi, ndiyo iliyochangia kutufumbua macho kwamba hawa wahindi wanashirikiana na serikali yetu kutuibia. Hakuwahi kuiacha pamoja na kuwekwa ndani mara kadhaa.

Mtikila amesimamia hoja ya mgombea binafsi katika kipindi cha miaka takriban 15. Hakutetereka pamoja na kudhihakiwa, kufungwa jela, na kuandamwa kisiasa.

Mtikila hajaacha hoja yake ya Utanganyika hadi leo.

Point yangu kuu ni kwamba, kushindwa kwetu kuwathamini na kuwasapoti wapiganaji wa ukweli ndo kinawafanya wabadilike. Angalia pamoja na mtikila kufadhiliwa na RA alijisahau akamlipua.

Mikakati ya Mrema unaweza kuiorodhesha mwenyewe

Kweli kabisa!
ingekuwa ni kidini basi huyu ni sawa na shahidi ( MARTYR).
 
Aisee kama umewahi kuwa naye karibu, ni mtu anayefikiri kwa kasi sana na anatengeneza mikakati ya papo kwa papo ndiyo maana wengine humuona kama dictotor. Anaongoza wasomi na PhD na anawazidi maarifa!

Mrema is being honour DOCTORATE by a South African University for his contribution to tanzania politics in general. he will be called Dr.Augustine Mrema

A truly living legend.......
 
If you scrutinise Mrema's ambitions vis-a-vis his fellow politicians in any undertaking, he is bluntly poor in thinking. Anaweza kuwa anaelewa mambo lakini uwezo wake wa ku-integrate mazingira yaliyopo ni mdogo. He is not remorseful.
1. MREMA is a born leader not made like those u know my brother,mrema is smart up stairs comparered other,Leaders are Sort of Born

2. There's only one thing that a person needs to actually be born with in order to be a leader later in life. That's intelligence. Mrema is real interligence, A leader needs to be smart enough.

3. Effective leaders aren't necessarily the smartest people in the room or the company or even on the team. But they have to be smart enough to do the job they're assigned. and that the citizen need.

3. Mrema who emerges from adolescence into young adulthood has the psychological and character traits to demonstrate for the rest of his life. Some of those matter for leadership. So dont tell me Mrema is Old or mrema won vunjo bcoz of ccm, who was campaign for other party ccm or TLP? WHO vote for Mrema? jk or vunjo people? so fool me once shame on me, twice shame on you.
4. WENGINE WANASEMA ANAUMWA ANAKARIBIA KUFA, Jamani wangapi ambao wanajadili maada hii ambao hawana ndugu, watoo, wake waumezao wajomba au pengine wao wenyewe ni wagonjwa? mnamdhihaki mungu nani ni mzima sasa? Au nani anategemea kuishi milele au nani anajua atakufa lini? kwani pengine sisi ambao tunamdhihaki mrema naongojwa wake wakisukari ambao hajaununua dukani ilanibalaa limemkumba na laweza mkumba mtu yeyote, so tujadili mambo ya msingi .
5. MREMA ALIFANYA NINI NA AMEFANYA NINI KAMA MBUNGE WA VUNJO 2010-2011.
A. ALIONDOA KODI YA KICHWA,
B. ALIONDOA ROAD TALL
C.ALIZUIA POLISI KUWANYANGA WAKINA MAMA WALIOKUWA WAUZA VITU TOKA NCHI JIRANI SOKONI,
D. ALIKAMATA MAJAMBAZI NA KUWAAMURU WARUDISHE SILAHA PASIPO KUSHATAKIWA, NAWALE WOTE WATAKAO RUDISHA SILAHA WALIPEWA ELFU HAMSI, iljulikana kama ( TAJIRIKA NA MREMA)
E. ALIWEZA KSULUHISHA MGOGORO WA KIDI ARUMERU,
F. ALISULUHISHA MASWALA YA NDOA BILA KUJALI DINI
G, ALIMSHUGHULIKIA CHAVUDA,
H.ALI MKAMATA MKE WA BOSS WAKE AKITOROSHA DHAHABU.
I, ALICHANGIA KUSHAWISHI WACHIMBAJI MADINI KAMA TANZANITE NA DHAHABU KUUZA MADINI KWENYE BENKI BADALA YA KUPISHA NJIA PANYA NAKUUZA KENYA.
J. MKAPA NA WIZI WA MILIONI 900, ( KASHIFA YA MILIONI MIATISA)
K. KASHIFA YA MINOFU YA SAMAKI.
L. KASHESHE LA KUFIKIWA WACHIMBAJ WADOGO WA MADINI WAKIWA HAI BALYANKULU. NAMENGINE SIYAKUMBUKI LABDA UNAYAJUA LAKINI UNAKUWA MBAHILI KUMPA SIFA STAHILI MUHUSIKA.
M. ALISHAURI MABASI YA ABIRIA YAWE NA SAFIRI MCHANA, JAMBO LILILOPUNGUZA AJALI NA WIZI.
****************************************************************
ALIYOFANYA VUNJO,2010 -2011,
  • KWA KUSHIRIKIANA NA POLISI WA KAWAKAMATA WEZI, VUNJO KUMETULIA.
    • KAZUIA UUZAJI WA POMBE HARAMU,
      • KACHANGIA SHULE UJENZI WA SHULE.
        • KACHANGIA UJENZI WA HOSPITALI HIMO.
        ANASHUGHULIKIA SWALA LA KUONDO MSONGAMANAO WA MAGARI NJIA PANDA YA HIMO KWA KUPANUA BARABARA, NAKUHAMISHA MIZANI,
        HUU NI MWANZO TU, ...................
        $$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$KWA KWELI MREMA NI EXCEPTIONAL NA KUPALI KUNVULIA KOFIA,.
 
      • we kweli ni great thinker, tatizo humu ndani chadema wamo kibao na pple dont think outside the box....they cant even admit he is a legend in tanzania politics for what he has done so far and still doing
 
Jambo moja nampendea huyu mzee ni pale umpe microphone, anaweza sana kujieleza na kuvutia wasikilizaji. Pengine alikuwa mtu wa kwanza tanzania hii kupambana na ufisadi kabla hata hatujajua kwamba kuna mafisadi wa kihindi wanaonyanya damu ya nji hii. Lakini sasa siku hizi amekuwa kibaraka wa mafisadi

Hata Shetani hawatafuti tena walioko chini yake, anaweka nguvu kuwateka walio kinyume nao kwa kutumia udhaifu wao. Kwa hiyo mafisadi kumteka ALM sio ajabu saaaana kihivyo. Vivuli vya mitaa ya DSM ni sababu ya Mrema, kupakwa rangi majumba ya National Housing na kuweka pavements za wapita njia kwenye majumba hayo ni Mrema. Hakuna kizuri kisichokuwa na ubaya na kadhalika kinyume chake ni sahihi. Lakini japokuwa binadamu anakumbukwa kwa mabaya akiwa hai, tutayasikia mazuri mengi zaidi ALM akiwa ametangulia mbele ya haki, maana hata mafisadi watamsifia. Kama unabisha sikiliza sifa anazopewa marehemu makaburini wakati wa maziko, zingine ni sifa zilizochakachuliwa, mabaya hayasemwi.
 
You have said it all! he is the man! he is controversial and his propaganda tactics confuses people. He will remain on of the great leader to compete with CCM ever! alikichachafya CCM wakati muasisi wake yuko hai, aliwavuta wanafunzi wa sekondari na kuwa tishio in those days when teknolojia ya mawasiliano ilikuwa poor. Record yake kwa kipindi chake na hali ya kipindi kile haijafikiwa bado.

I am sorry to say watanzania wengi tumewarudisha nyuma wapambanaji kama hawa tumewadharau, tumewapa majina, tumewatupa na tumeshindwa kusoma historia , wengi huishia kuishi kama wananchi wanavyotaka, Mrema really amejitahidi kusimama kwenye games. his dictatorship attributes are best for Tanzania.

Mrema na Mtikila hawasahauliki kirahisi

Vipi na kule kuwaita watu waende Moshi kuonana naye na kujifanya kutatua mashauri ya ndoa na yeye si hakimu! The guy has nothing between his ears.
 
"Hivi mrema ameshawahi rudisha kadi ya CCM?WAPI NA LINI?
Kwanini anataka awe MWENYEKITI kila anakohamia?
Hii sio dalili za double agent kweli?"

kaka hata mabere marando hajarudisha kadi ya nccr mageuzi!..
 
Mrema is being honour DOCTORATE by a South African University for his contribution to tanzania politics in general. he will be called Dr.Augustine Mrema

A truly living legend.......

Kwa kweli Mrema akipata honorary doctorate mimi nitamwita DR, he deserves it. Hebu tupe taarifa zaidi mkuu ni chuo gani na ni lini anapewa
 
Hata Shetani hawatafuti tena walioko chini yake, anaweka nguvu kuwateka walio kinyume nao kwa kutumia udhaifu wao. Kwa hiyo mafisadi kumteka ALM sio ajabu saaaana kihivyo. Vivuli vya mitaa ya DSM ni sababu ya Mrema, kupakwa rangi majumba ya National Housing na kuweka pavements za wapita njia kwenye majumba hayo ni Mrema. Hakuna kizuri kisichokuwa na ubaya na kadhalika kinyume chake ni sahihi. Lakini japokuwa binadamu anakumbukwa kwa mabaya akiwa hai, tutayasikia mazuri mengi zaidi ALM akiwa ametangulia mbele ya haki, maana hata mafisadi watamsifia. Kama unabisha sikiliza sifa anazopewa marehemu makaburini wakati wa maziko, zingine ni sifa zilizochakachuliwa, mabaya hayasemwi.

Mkuu umezidi kutukumbusha mambo aliyoyafanya huyu mzee. Nadhani ilitakiwa ajitokeze mtu aandike kitabu kuhusu maisha ya kisiasa ya huyu mzee. Kuna taasisi ambayo ilianza kuandika vitabu vya wanasiasa wa nji hii tangu mwaka jana. Nadhani walianza na Dr. Slaa na kisha wakaandika cha JK. Sijui walitumia vigezo gani kuandika kumbukumbu za kisiasa za JK. Kama vigezo vyao ni vya haki basi mtu kama Mrema wangekuwa wameanza naye
 
Kwanini tunawasahau watu kama kina Mabere Marando, Edwin Mtei na wengineo ambao ndio wapambanaji wa kwanza na waasisi wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania, si kwamba nampinga Mrema wengineo, la hasha, lakini hawa wanasiasa wa upinzani wa sasa ni kama sisi wananchi wengine tunavyofaidi juhudi za Mwalimu Nyerere kutuletea uhuru wa Tanganyika.
 
Sasa hivi kumtofautisha na Csisiem ni vigumu. Sasa hivi anaganga njaa zaidi ya upinzani
 
Kwanini tunawasahau watu kama kina Mabere Marando, Edwin Mtei na wengineo ambao ndio wapambanaji wa kwanza na waasisi wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania, si kwamba nampinga Mrema wengineo, la hasha, lakini hawa wanasiasa wa upinzani wa sasa ni kama sisi wananchi wengine tunavyofaidi juhudi za Mwalimu Nyerere kutuletea uhuru wa Tanganyika.[/QUOTE, ILI]
UKOSAWA KUHUSU MARANDO, YEYE YUPO KIKAZI ZAIDI KWANI KAZI ALIYOKUWA AMEPEWA NA CCM KUISAMBARATISHA NCCR, BAADA YA KUONEKANA MREMA AMEKUBALIKA1995, MKAPA NA KUNDI LAKE ILIBIDI ( WAKINA JAJI LIUNDI ALIYEYEKUWA MSAJILI WA VYAMA) ALIMSHUGHULIKIA IPASAVYO. KWA BAHATI NZURI MREMA NEVER GIVE UP, ALIKUALA NAE SAHANI MOJA MPAKA SERIKALI IKAONA SASA NIAIBU MKAPA AKAMWONDOWA. BAADA YA MARANDO KUFANIKIWA KUKIVURUGA CHAMA, ALIPEWA ZAWADI YA UBUNGE WA EAST AFRICA NA MKAPA, SI MARANDOTU HATA LAMWAI. KUHUSU MTEI ATAJADILIWA SIKU YAKE KWANI HII NI MADA YA MREMA PERIOD. SO WANA CHEDEMA INABIDI KUWA MACHO NA MARANDO, ACHENI KURUSHA MANENEO KWA MZEE,LYATO. KWANI MAJIBU YA MARANDO MTAYAONA SOON,
 
Kwanini tunawasahau watu kama kina Mabere Marando, Edwin Mtei na wengineo ambao ndio wapambanaji wa kwanza na waasisi wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania, si kwamba nampinga Mrema wengineo, la hasha, lakini hawa wanasiasa wa upinzani wa sasa ni kama sisi wananchi wengine tunavyofaidi juhudi za Mwalimu Nyerere kutuletea uhuru wa Tanganyika.

Labda Edwin Mtei, lakini siyo Mabere Marando. Marando ni mchumia tumbo na ametuhumiwa sana kuhujumu upinzani hapa tz. Pia kuanzisha tu chama siyo kupigania haki za watanzania, Mabere atakumbukwa kwa lipi?
 
mazishi? Hapa hapana mrema asiongelewe ivo ata kama unamtetea! Ujumla wa shushushu mrema ni wa ajabu! Ila kwa kuwa ni mpinzani ambaye hajawai kustaafu ushushu,siwezi kumpinga wala kumsifia. Kwa ufupi ni mtu aliyekuwa imara. Kundi lake naweza kuwaweka pia magufuli,mwandosya, dr.slaa,na mwakyusa. Ni watu walio na image ya Tanzania.

Heshima kwako Gsana,

Marando kastaafu !!!!!!!!.
 
"Hivi mrema ameshawahi rudisha kadi ya CCM?WAPI NA LINI?
Kwanini anataka awe MWENYEKITI kila anakohamia?
Hii sio dalili za double agent kweli?"

kaka hata mabere marando hajarudisha kadi ya nccr mageuzi!..

Hapo kwenye nyekundu propaganda za Makamba
 
Back
Top Bottom