Augustine Lyatonga Mrema: Mpiganaji!

Hatutafuti Malaika, bali mtu ambaye ana msimamo tofauti na status quo, tu ambaye yuko tayari kusimama na kuukana mfumo mbovu.

Kama kuna kitu kinachotushinda Watanzania, ni kukubali pale tunapokosea. Kukubali makosa ni Uungwana na si dallili ya Udhaifu. Ni dalili ya Uwajibikaji na si dalili ya kushindwa kazi.

Lowassa anajulikana kuwa ni mchapa kazi mzuri sana. Lakini udhaifu wake siku zote ni kukataa kuwajibika kulikoongozana na tamaa.

Mrema naye ni mchapa kazi ambaye si systematic, lakini kuchacharika chacharika kwake, kulikuwa na impact to an extent, sema kutokana na mfumo mbovu wa kiutawala, yakamkuta yale yale ya Sokoine kuchunguza Mawaziri wenzake wakati wa vita vya Uhujumu na vikao vya Chama na Serikali vikaamua walio Mawaziri au wakubwa wengine waachwe.

Hili la kulindana na kuoneana haya ni tatizo sugu, mpende msipende. Yule ambaye atatoka ne ya mstari, Uhai wake na maisha yake pamoja na kipato, yanakuwa yamo mashakani na kuwekwa herani.

Tanzania inahitiaji mwendawazimu, ili tuanze kupata mabadiliko. Tulikuwa na Mwanafalsafa Nyerere, tukachechemea, akaja Mzee wa Busara Mwinyi, tukamhujumu, kisha akaja Mtaalam Mkapa, tukazugika na kuingia mkenege kuwa kulipwa kwa madeni yetu basi kila kitu kilikuwa kinaenda vyema, na sasa tuna Mtanashati cool guy and laid back, na tunaona kigugumizi cha kunyoosha mfumo kwenda kwenye mstari unaotakikana.

Leo hatuhitaji eti msomi au mwenye maono, tunahitaji mtu ambaye ataia kila mtu matumbo joto na kuanza kuchacharika, mtu ambaye ata micro manage nchi katika kila kitu ili kuongeza ufanisi, kuleta uwajibikaji na kuamsha nidhamu ya kweli si nidhamu ya woga au ya kinafiki.

Mrema anasimama kama kichaa anayehitajika kwa Tanzania, akiwa na timu nzuri ya washauri na akapangwa sawa, Mrema anaweza kuleta mabadiliko makubwa kuliko tuliyoyatarajia.
 
Amani iwe kwako Rev:

Unajua in 1990s, nchi zote zilizokuwa chini ya utawala fulani kwa muda mrefu zilitaka mabadiliko.

Mwaka 1991 ungeniuliza kwanini nilikuwa jobless, majibu yangu yangekuwa CCM.

Mwaka 1990 ungemuuliza mtu yoyote kuhusu matatizo ya Zambia, ange mtaja Kaunda kuwa ni chanzo cha matatizo.

Tumeshabadili viongozi na nchi zingine mpaka chama tawala, lakini kwa wengi hakuna mabadiliko makubwa. Hivyo inawezekana the underlying course ya matatizo yetu ni system ya utawala na sio nani ameshikilia usukani.

Hivyo kumtafuta kichaa, kuendesha mfumo mbovu ni kujitakia matatizo ambayo yanaweza kurudisha nchi kwenye ujima.
 
Zakumi,Rev.Kishoka,

..nadhani hata sisi wananchi wenyewe inabidi tubadilike.

..umefika wakati tuache kuridhika na majibu mepesi-mepesi.

..hii nchi hata ukikamata mafisadi wote bado inaendeshwa kizembe-zembe mno.

..hebu angalieni mfumo wa afya, utoaji elimu, huduma ya maji, miundombinu, "urbanization without industrialization" etc. hivi kweli is it getting better? if not, kwanini tuko so fixated kwenye ufisadi peke yake?

..halafu tuko serious kabisa tunaomba kwa Mwenyezi MUNGU atuteremshie mwendawazimu wa kutuongoza. nani atafanya kazi ya kumdhibiti huyo mwendawazimu?

..umefika wakati wananchi tuwe more demanding kwa hawa viongozi wetu. kama utendaji wao haubadilishi hali za utoaji huduma, na kutoa fursa kwa wananchi kujiendeleza, basi tuwaondoe kwa kura.
 
- Mrema hawezi kutusaidia anything Wa-Tanzania, as long as tuna political system tuliyonayo ambayo ni fugazz(fake), infact ni u-fugazz wa political system yetu ndio umemfanya hata akaweza kujificha behind the curtain ya status quo mpaka kuwa maarufu for absolutely nothing, ninasema nothing to show for!

- Those of us who are esteemed to speak on behalf of the people, tunahitaji kusema things which would increase the confidence of people in the future on our leadership, na suggesting kwamba Mrema could be our savior only helpes to raise serious questions and doubts about it rather than raising a hope for our nation's future!

- Tanzania tunataka a leader ambaye ni a person of strength and character unlike Mrema, who accepted to be limited by the powers akiwa nje na ndani ya CCM, tunataka kiongozi ambaye atakuwa very inspiring to other countless kutokana na na his leadership's examples,

- I mean the assumption kwamba Mrema is still the man to take us to the land filled with honey, either ni incredibly naive au ni a calculated mis-leading effort kutuhadaa wananchi ili tuendelee kuwa wajinga mpaka mwisho wa dunia, it is a wrong and very inaccurate assumtpion especially in its presentation as the so called facts, if you will!

- Assumption kwamba an-ignorant man like Mrema anaweza kutuokoa as a nation na kwamba we need a man of his ignorance level, ni an insult kwetu wananchi wote wa Tanzania, kwa sababu all you need ni kuangalia mapungufu yake Mrema kiuongozi, utagundua kwamba yamesababishwa na uwezo mdogo kielimu, sasa leo 21th Century, kweli tunahitaji kiongozi wa calliber ya Mrema?

- Hapana, Tanzania tunataka a stand up leader who can identify our national problems na ambaye hatasimama kwenye majukwaa tu ku-propose its solutions, bali ataingia vitani yeye mwenyewe kupigana nayo kabla ya ku-suggest anything as far as solutions are concerned kwetu wananchi,

I am sorry, kwa maoni yangu Mrema is not that leader!

Respect.

FMEs!
 
FMES,

..unajua badala ya kuomba kwa Mwenyezi Mungu atuteremshie kiongozi kichaa mimi nadhani bora sisi wananchi tuwe vichaa.

..naona kama viongozi wetu wako too comfortable, hawatujali, hawatusikilizi, na wanatudharau.

..sasa wananchi tuwe vichaa, machizi kweli kweli, tuwe more demanding, na sisi wenyewe tuwajibike zaidi, vilevile kiongozi yeyote goigoi tumuondoe kwa kura bila kumchelewesha.
 
Mkuu jokakuu,

- Hivi kuna mtu humu ndani anayeweza kutuwekea CV ya Mrema, politically toka awe kiongozi wa CCM mpaka upinzani, exactly what alicholifanyia taifa letu to deserve kuitwa our national hero?

Respect.

Kamanda FMEs!
 
Wakuu zangu,
Nimeanzisha mada moja inayotokana na mambo mengi niliyoyaona humu.. Muda mrefu nimejiuliza maswali kama yenu, kujaribu kumshutumu mtu mmoja au watanzania kwa ujumla wake lakini bado sipati jibu haswa..Hivi kwa nini Tanzania ni maskini?..Hivi kweli inaweza kutokana na Utawala mbaya, Kiongozi mbaya, Siasa mbaya, Elimu yetu, uwekeshaji mbaya au vitu gani haswa..

sababu kubwa ilonikwaza ni kwamba moja ya imani yangu kubwa ktk kutatua matatizo ni kwanza kukubali kuwepo na Umaskini.. kama vile maradhi ni muhimu kwa mgonjwa wa maradhi yoyote yakle akubali kuwa anaumwa ili tiba itafutwe..

Sasa Hizi habari za nani mkosa hufuatia baada ya mgonjwa kukubali jambo ambalo sote hapa JF tunalikubali..kinachofuata kulingana na utaratibu wowote ni mgonjwa huyo kufikishwa hospital.. sisi tumechagua IMF, Je hii Hospital inayafahamu magonjwa ya nchi za Trapical?.. naambia siku hizi madaktari husoma kila magonjwa wakayajua hata kama hawajawahi kumhudumia mgonjwa wa maradhi hayo!. Mhnnnn! -haya, yangu macho.

Haya IMF kama Hospital inatuambia maradhi yetu ya Umaskini yanatokana na kitu gani haswa? Uchumi mbaya, mfumo mbaya au viongozi wabaya! kwani nashindwa kuelewa hiyo recommandition ya daktari mzuri (Mrema) ambaye hana sifa za Udaktari isipokuwa akilindwa na policy za maabara, upole, usomi au hard working.. hao kina Mwinyi, Mkapa, JK na hata huyo Mrema.
.
Hivi kweli Mrema anaweza kuwa kiongozi (daktari) mzuri pasipo kutazama uwezo wake ktk kuongoza operation ambayo ni tiba ya maradhi yetu ya umaskini?..Je, dawa zake anazo recommand zimefanyiwa uchunguzi tosha au tuna bet on his good hard working kuwa kigezo cha daktari mzuri..Au tunafuata vitabu vinavyotuongoza kufikia maamuzi haya na hivyo vitabu viko wapi?..

Je, diagnosis ya Umaskini wetu imetupa ni virusi gani haswa vinavyoambukiza viongozi na hata wananchi kiasi kwamba leo hii umaskini umekuwa epidemic.. unasambaa kwa haraka na kasi ya ajabu kuliko Ukimwi...

Wakuu zangu mtanisamehe lakini hizi habari za Mrema na kuchagua vichwa vya watu kuongoza mapinduzi haya pasipo kuelewa sababu kwanza.. pasipo kuelewa ni hospital gani inaweza tibu maradhi kulingana na watu na mazingira tuishiyo nashindwa kabisa kukubaliana mapendekezo yoyote yale.. kwa maana kwamba sisi watanzania kama WATU wenye tabia, tamaduni, ustaarabu, hulka, mila, miiko na kadhalika ni muhimu tufahamu tofauti yetu kama binadamu na tupo katika MAZINGIRA yapi!.. kwani ni katika kuiga sana mambo ya Ulaya na hasa hizi elimu tulizopewa zinavuta sana Ulimbukeni kiasi kwamba tunashindwa kwenda na dunia tukizingatia vitu hivyo..
Majuzi tu mshikaji wangu wa karibu sana kampoteza mama yake... inasikitisha sana mimi kuandika kitu hii lakini yote haya ni katika kujieleza ili mpate kunielewa. nafikiri sote tunajifunza na mshikaji atanisamehe kwa hili..yaani kifo cha mama yake kiwe mfano kwetu kuelewa jinsi tunavyovurunda mambo mengi..

Mama wa mshikaji wangu alikuwa na maradhi ya Kisukari tena muda toka augue..majuzi alijisikia vibaya akaenda hospital kupatiwa tiba akafanyiwa uchunguzi wa haraka na madaktari wetu (wasomi) hao, mara moja wakamwekea maji ya Quinine ati kustabilize hali yake - mama kaondoka!. Huu ni mfano mdogo sana kama mnakumbuka kuna mfano mwingine wa yule daktari aliyemtoa mguu (operation)mgonjwa wa kichwa..wanawake wajawazito wanakufa leo hii kuliko wakati wowote ule kutokana na makosa ya madaktari au upungufu wa vifaa ili mradi vifo Tanzania ya leo ni kosa la mgonjwa.Sasa sielewi kama hali hii inatokana na mfumo wa Afya kuwa ni biashara au ni makosa ya Hospital kutokuwa accountable..kwani responsibility comes with Accountability..

Hii ndio hali nayoiona ktk Uchumi wetu, Watanzania tunatafuta njia za mkato...hadi leo hii tumeshindwa kabisa kuelewa tunaumwa maradhi gani zaidi ya kusema UMASKINI... Huu umaskini unatokana na nini haswa hatufahamu sote isipokuwa kunyoosha vidole kwa wahusika wa juu au wananchi wakati tatizo lipo Somewhere.
Uchumi wetu unapewa stimulus (Quinine) kama maskini marehemu mama yake mshikaji wangu kwa sababu tu IMF has recomanded kutokana na vitabu vyao pasipo sisi kufanya uchunguzi wa kina ktk maradhi ya mgonjwa alolala kitandani mwetu na sio NY au Geneva!..Bila shaka tutakubaliana sote kwamba kufanya diagnosis ya Umaskini wetu ndio muhimu zaidi ya kichwa cha kiongozi iwe Mrema, Mbowe au JK.

Tukiweza kuelewa ni virusi gani vinavyo dhoofisha uchumi wetu ndipo dawa hufuatia kwa kuzingatia Allergies za mgonjwa, na pia makosa ambayo yametokea kwa mama ya mshikaji kama nilivyoelezea hapo juu...Nina hakika kabisa kwamba umaskini wetu unayo dawa na uwezo wa maradhi haya kupona Upo isipokuwa tunatakiwa kuangalia kwa mapana zaidi ya kufikiria kwamba kichwa cha mtu kama Mrema anaweza kutibu maradhi yote kwa sababu tu yeye ni daktari..
 
Last edited:
- Mrema hawezi kutusaidia anything Wa-Tanzania, as long as tuna political system tuliyonayo ambayo ni fugazz(fake), infact ni u-fugazz wa political system yetu ndio umemfanya hata akaweza kujificha behind the curtain ya status quo mpaka kuwa maarufu for absolutely nothing, ninasema nothing to show for!

- Those of us who are esteemed to speak on behalf of the people, tunahitaji kusema things which would increase the confidence of people in the future on our leadership, na suggesting kwamba Mrema could be our savior only helpes to raise serious questions and doubts about it rather than raising a hope for our nation's future!

- Tanzania tunataka a leader ambaye ni a person of strength and character unlike Mrema, who accepted to be limited by the powers akiwa nje na ndani ya CCM, tunataka kiongozi ambaye atakuwa very inspiring to other countless kutokana na na his leadership's examples,

- I mean the assumption kwamba Mrema is still the man to take us to the land filled with honey, either ni incredibly naive au ni a calculated mis-leading effort kutuhadaa wananchi ili tuendelee kuwa wajinga mpaka mwisho wa dunia, it is a wrong and very inaccurate assumtpion especially in its presentation as the so called facts, if you will!

- Assumption kwamba an-ignorant man like Mrema anaweza kutuokoa as a nation na kwamba we need a man of his ignorance level, ni an insult kwetu wananchi wote wa Tanzania, kwa sababu all you need ni kuangalia mapungufu yake Mrema kiuongozi, utagundua kwamba yamesababishwa na uwezo mdogo kielimu, sasa leo 21th Century, kweli tunahitaji kiongozi wa calliber ya Mrema?

- Hapana, Tanzania tunataka a stand up leader who can identify our national problems na ambaye hatasimama kwenye majukwaa tu ku-propose its solutions, bali ataingia vitani yeye mwenyewe kupigana nayo kabla ya ku-suggest anything as far as solutions are concerned kwetu wananchi,

I am sorry, kwa maoni yangu Mrema is not that leader!

Respect.

FMEs!

FMES,

Let me reverse the order of your post above with my questions.

Nyerere, Mwinyi, Mkapa and now Kikwete, were brights minds off Tanzania, why are we here if these educated people failed to lead us into prosperity?

Lets take Bakhresa an ignorant merchant, how come he has a succesful busines more than NMC which was led by educated and smart people?

Can you define Ignorance in relation to Mrema and the leaders we have had? Lowassa is educated, Mattaka is educated, Chenge is educated, Mgonja is educated, Mramba is educated, Chiligati is educated and the list goes on of educated Tanzanians who have failed to execute the mission to lead our country from poverty and being dependent.

You have stated we need a strong leasder, any suggestioins that you have that we may start pampering and sell his/her name to public as we prepare for 2010 or even 2015? Can you list at least 5 people that you think are right people to lead Jamhuri right now?

You have stated we have a fake and disfunctional system. When did you come to realization that we have a non functioning system? Can you expand and give us specifics of which system is rotten? As you have now identify that our system is bad, what will be your recommendations going forward? Can you list a few key elements (lets say 5 major items)of our disfunctional system and how you will go about to fix them?

Nduguyo Mchungaji.
 
Pamoja na yote hayo mtakumbuka Mrema alivyopambana na wanamagendo mpaka airport kakamata madini ya mama Siti Mwinyi. Kama sijakosea kilichomtoa CCM ilikuwa fedha walizopewa kina Chavda kuendeshea mashamba ya mkonge Tanga na swala la kuuza madeni ya Tanzania kwa wahindi. Kama kuna mwenye kumbukumbu nzuri atujuze. Kweli alikuwa mpiganaji tena ndiye aliyebuni ulinzi shirikishi kawahamasisha watu mpaka wakajenga police post karibu kila mtaa.
 
Mkubwa hili la ubunge kuonekana kama nafasi ya kujikwamua kimaisha ndo linaloturudisha nyuma. Kiongozi wa kweli anatakiwa asukumwe na shida za watu wake na sio maslahi yake binafsi. Wabunge wengi tulionao ukimuliza mmojawapo "ni shida gani za wananchi zilizomfanya agombee na amezitatua kwa kiasi gani" hapo ni sawa na kumwambia akalie kaa la moto! Wapo pale ili mradi siku ziende na apate posho yake michango yao kwenye mambo yaliyo na masilahi kwa nchi ni duni! Si wabunifu na wamechoka kimawazo
 
Mrema ni shujaa na bado ataendelea kuwa shujaa atakama mtajaribu kumshusha na siasa zenu za maji taka.A L Mrema ni kiongozi pekee aliyewasumbua CCM hadi kufikia hatua ya kumtumia Mwl Nyerere kwenye kampeni.

Miaka ya hivi karibuni wamezuka wanasiasa wabunifu hasa wa kambi ya upinzani waliotumia mbinu mbali mbali [helicopter] ili kufikia record aliweka Mzee wa Kiraracha lakini wapi wameishia kuwavalisha wafuasi wao nguo za mgambo.

Mzee wa Kiraracha ameweka records ambayo bado sijaona kiongozi yoyote wa kambi ya upinzani atakayeivunja.
 
FMES,

Let me reverse the order of your post above with my questions.

Nyerere, Mwinyi, Mkapa and now Kikwete, were brights minds off Tanzania, why are we here if these educated people failed to lead us into prosperity?

- Mwalimu haingii katika hiyo list, ingawa pia mapungufu yake ndio hasa yamekua a bad influence kwa waliomfuata, Mwalimu was the bright mind sio siri, lakini aliruhusu mapungufu yake either kwa makusudi in some areas, na kwa kwa bahati mbaya in others, kuweka a bad precedent kwa waliomfuata, na ambao aliwaweka mwenyewe bila kujali katiba ya jamhuri, wala ya chama chake mwenyewe, na haya ndio matokeo yake kwa sababu kwenye siasa kama sheria, history huwa inaji-repeat itself.

- Lakini hata hivyo bila ya wote hao kuwa na elimu kama Mrema, ingekua worse than what we have now.

Lets take Bakhresa an ignorant merchant, how come he has a succesful busines more than NMC which was led by educated and smart people?

- Bhakressa, ni capitalists ambaye through his connection with our powers, aliruhusiwa mapema ku-practice capitalism katika nchi ya socialism, na ni simple and clear kwamba huhitaji kuwa educated kuwa capitalist,

NMC ilianzishwa under illusions za a fundamentally flawed theory ya Socialism ndio maana haikuenda popote kama vile theory yenyewe, kina Stalin na Brezinehv walikuwa ni wasomi tena sana, ila they failed kwa sababu ile ile iliyotufanya sisi pia tushindwe, yaani kusimamia a flawed theory.

Can you define Ignorance in relation to Mrema and the leaders we have had? Lowassa is educated, Mattaka is educated, Chenge is educated, Mgonja is educated, Mramba is educated, Chiligati is educated and the list goes on of educated Tanzanians who have failed to execute the mission to lead our country from poverty and being dependent.

- Education ni one item tu katika item nyingi a good leader anatakiwa kuwa nayo, tatizo la Mrema hata bila education hana hata hizo items zingine, ndio maana mpaka leo hana anything to show pamoja na kufahamika sana kisiasa katika media zetu in the 90s,

- Mrema alijaribu sana kuiga tabia ya Mwalimu, ya kuamua maamuzi muhimu taifa nyumbani kwake, bila kujali sheria ya jamhuri wala ya chama, ndio maana ninasema regardless of what history huwa inajirudia sana katika siasa.

You have stated we need a strong leasder, any suggestioins that you have that we may start pampering and sell his/her name to public as we prepare for 2010 or even 2015? Can you list at least 5 people that you think are right people to lead Jamhuri right now?

- Ni mapema mno kuanza kurusha majina arround, lakini wapo na ninaye one in mind ambaye binafsi tayari nimeshanza ku-invest in, lakini samahani ni mapema mno wasije wakaanza kupigwa mikwara.

You have stated we have a fake and disfunctional system. When did you come to realization that we have a non functioning system? Can you expand and give us specifics of which system is rotten? As you have now identify that our system is bad, what will be your recommendations going forward? Can you list a few key elements (lets say 5 major items)of our disfunctional system and how you will go about to fix them?

Nduguyo Mchungaji.

- Mchungaji, ya dis-functional system nimeyagundua siku nyingi sana, na nina jawabu moja tu nalo ni kwamba ukinipa urais leo, kwanza nitafuta vyama vyote vya siasa nchini na kuweka sheria ya kuwa na vyama vitatu tu, viwili vya wananchi na kimoja cha independent, nitabadilisha katiba ya jamhuri immediately,

- Na the most important thing ni kwamba nitapiga marufuku kiongozi yoyote wa sasa au wa zamani kuwa involved na a new political system nitakayoiweka in place, mengine yote yatajiweka sawa in the process.

Kwani katiba ina matatizo gani? si nzuri tuu as it is right now kwa mujibu wa CCM? Ni kipi utakachobadilisha kwenye katiba?

Unaposema Kiongozi, ni nani kiongozi? Mwenyekiti, Makamu, Rais, Waziri, Mbunge, Spika, Meneja Mkuu, Katibu Mkuu, Mweka Hazina au ni kiongozi wa namna gani au viongozi wa namna gani utawazuia kujiunga na siasa?

Je hilo si nalo ni kuvunja Demokrasia na kuwa Udikteta sawa na wa Nyerere au ni vipi?
 
FMES,

Let me reverse the order of your post above with my questions.

Nyerere, Mwinyi, Mkapa and now Kikwete, were brights minds off Tanzania, why are we here if these educated people failed to lead us into prosperity?

Lets take Bakhresa an ignorant merchant, how come he has a succesful busines more than NMC which was led by educated and smart people?

Can you define Ignorance in relation to Mrema and the leaders we have had? Lowassa is educated, Mattaka is educated, Chenge is educated, Mgonja is educated, Mramba is educated, Chiligati is educated and the list goes on of educated Tanzanians who have failed to execute the mission to lead our country from poverty and being dependent.

You have stated we need a strong leasder, any suggestioins that you have that we may start pampering and sell his/her name to public as we prepare for 2010 or even 2015? Can you list at least 5 people that you think are right people to lead Jamhuri right now?

You have stated we have a fake and disfunctional system. When did you come to realization that we have a non functioning system? Can you expand and give us specifics of which system is rotten? As you have now identify that our system is bad, what will be your recommendations going forward? Can you list a few key elements (lets say 5 major items)of our disfunctional system and how you will go about to fix them?

Nduguyo Mchungaji.

Tanzania ina system na sub-system nyingi tu. Kuna banking system, political system, school system, irrigation system na mengineyo.

System zetu nyingi zina mapungufu makubwa, lakini kwa sababu tunayemzungumzia hapa ni mwanasiasa basi neno system liwe linawakilisha POLITICAL SYSTEM.

Hivyo mapungufu:
-check and balance
-Transparency
-involvements
-Rigid
 
FMES,

Kwani katiba ina matatizo gani? si nzuri tuu as it is right now kwa mujibu wa CCM? Ni kipi utakachobadilisha kwenye katiba?

- Kwa maoni yangu ni kwamba katiba tuliyonayo sasa originally ilikuwa intended kwa ajili ya one party state, ni mbovu sana hasa kwenye powers za rais, zinahitaji kupunguzwa sana na inahitajika sheria mpya ya kuvithibiti na kivekea mipaka vyama vya siasa tawala nchini, na muhimu ni kuondoa hii nonsense ya waziri lazima awe mbunge, ni mwanzo wa rushwa tu!

- Kwa sababu mtu anatafuta ubunge apate uwaziri, akikosa anajiunga mafisadi ili aweze kunufaika na mipesa inayomwagwa mara kwa mara na mafisadi katika kujaribu kupitisha agenda zao.

Unaposema Kiongozi, ni nani kiongozi? Mwenyekiti, Makamu, Rais, Waziri, Mbunge, Spika, Meneja Mkuu, Katibu Mkuu, Mweka Hazina au ni kiongozi wa namna gani au viongozi wa namna gani utawazuia kujiunga na siasa?
Je hilo si nalo ni kuvunja Demokrasia na kuwa Udikteta sawa na wa Nyerere au ni vipi?

- Nitazuia wanasiasa wote wa sasa na zamani kwa kutumia either katiba ya jamhuri iliyopo sasa inayomruhusu Rais kuvunja serikali at any of his time, au kwa kutunga sheria mpya through bunge ili kuheshimu demokrasia.

- Kumbe unasema Mwalimu alikuwa dikteta? Sikujua hilo labda unieleweshe mkuu!

Respect.

FMEs!
 
Tanzania ina system na sub-system nyingi tu. Kuna banking system, political system, school system, irrigation system na mengineyo.

System zetu nyingi zina mapungufu makubwa, lakini kwa sababu tunayemzungumzia hapa ni mwanasiasa basi neno system liwe linawakilisha POLITICAL SYSTEM.

Hivyo mapungufu:
-check and balance
-Transparency
-involvements
-Rigid

Mkuu Zakumi heshima mbele.
Napenda kukubaliana na wewe kwa asilimia 100.

Check and balance ni tatizo kubwa sana kwa karibu nchi zote za dunia ya tatu {masikini} hasa za kiafrka.
Katiba yetu inampa madaraka makubwa Rais wa JMT kufanya atakalo bila kuhojiwa na chombo chochote.
Mfano mzuri ni jinsi NEC walivyotaka kumsulubu mheshimiwa Sitta kwa kisingizio cha kudhalilisha serekali.
 
utoroshwaji wa nyara za serikali kupitia viwanja vya ndege na bandarini uliongezeka kwa kiwango kikubwa. .

Si utoroshaji ulikuwa na vibali vya wakubwa wake? Kumbuka wanyama waliosafirishwa hai kwenda uarabuni, si aliwakamata lakini wakawa wa vibali toka ikulu?
Maovu kama hayo ndiyo yalimsukuma kukataa collective responsibility na kutoka serikalini!
 
- Kumbe unasema Mwalimu alikuwa dikteta? Sikujua hilo labda unieleweshe mkuu!

Respect.

FMEs!

Nitakujibu kwa kutumia maneno yako mwenyewe...

Back
Top Bottom