AUDIT OF NGOs, is it mandatory

consigliori

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
392
89
Heshima yenu wakuu,

Naomba kufahamishwa kama NGOs zinalazimika kuwa audited kama yalivyo Makampuni. Pia naomba mwenye Non Governmental Organizations Act, No. 24 of 2002 atuwekee hapa nasi tuisome manake nimejaribu ku google bila mafanikio.

Nawasilisha ombi
 
Kwa kawaida NGO lazima ziwe audited. Donor yoyote hawezi akakupa pesa bila kuonyesha Audit reports. Usually kwa miradi ya NGOs inatakiwa iwe audited annually lakini inategemeana na donor requirements.
 
Kwa hiyo unasema si lazima, unless donor ametaka au uongozi wa NGO husika unaona umuhimu wa audit. Sijui kama ndivyo umemaanisha
 
audit ni mandatory na kama unapokea USG money hiyo haina mjadala

swali ni kuhusu anaye-audit, sidhani kama ni CAG, najua akina PWC, Ernst and Young, deloiite hufanya hizo audit
 
Back
Top Bottom