Audio Service kwenye PC

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
Wadau kwenye ile icon ya volume pale chi kwenye icons nyingi nyigi, imewekewa ki "x" hvi, niki pint inaniambia,"The Audio Service is not running" naweza solve vipi hili tatizo wakuu?????????
 
click hicho ki spika hapo chini halafu ingia ktk mixer adjust hizo volume inaweza kuondoka hiyo x
 
uliweka window karibuni? ukiweka window inabidi uweke drivers za sauti n.k , inawezekana hujaweka bado drivers za sound kama uliweka windo karibuni.
 
kweli man, nimeweka wingow kama miez miwil sasa imepita, sasa drivers nazipata wapi mwana mahesabu??????
 
unazidownload net, kama pc yako ni dell, serach net dell drivers, au dell audio drivers kwa hilo tatizo la sauti. ukishadownload unazinstall kawaida tu, kama zikiwa zimekubali hizo drivers alama ya x itaondoka kwenye spika.
 
nashkuru kwa mwongozo japo sio wa spika, mia mia man
 
Back
Top Bottom