Huyu bwana mdogo aliyehama EC kuna tetesi la muda mrefu huwa anakamatishwa bati.ili kusijue mabaya yao? acha wapelekane...Ruge ajibu hoja za Sugu na huyo mtoto wa kiume anae jichubua aliengilia nae ajibu maana yeye ndiyo kapewa ukurugenzi kwenye hiyo kampuni fake...